#COVID19 Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima asema kutokufanya social distancing wakati huu wa Covid-19 ni msimamo sahihi

#COVID19 Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima asema kutokufanya social distancing wakati huu wa Covid-19 ni msimamo sahihi

IMG_20210210_180734.jpg
 
Kule US **** Askofu aliwakatalia kabisa waumini kufuata maelekezo yoyote ya kujikinga na corona, haikuchukua muda, ikamchukua yeye kwanza. Baada ya pale waumini wakapata jibu sahihi.

Na wakati fulani Mungu hutenda hivyo ili kuwaokoa wajinga ambao wangeangamizwa na watu wenye kutoa mafundisho potofu kama ya huyu tapeli kwa kupitia neno la Mungu.
 
Covid haipendi dharau
 
Anao uwezo wa kukesha na kuomba lisimkute baya,ila sina hakika kama anaweza kuomba kwa ajili ya wengine.
 
Bora huyu!

Je, aliyesema wafungwa wachukue nafasi ya askari magereza waliostaafu

[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha weeee
 
This is quite opposite. Issue corona ipo na inaleta madhara au la. Ng'ombe hana hofu na sotoka si anaugua na kufa?

Kuku anakufa kwa kideri lakini hajawahi kuogopa kideri.

Binadamu anaogopa sababu ana utashi na akili ambavyo humfanya achukue tahadhari. Huyu Gwaji anafikirije!
Anareduce humankind hadi kuwa linyama lisilofikiri
 
Back
Top Bottom