chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].umetisha mkuu.ugonjwa unaakili Kama allienHalafu bhana huu ugonjwa ulivyo ukiuponda tuu unaanza na wewe ulieuponda hivyo msishangae ukapita nae
Wokovu umwingia nyumbani kwa bwana johnthebaptistBwashee umekumbwa na nini!! Mbona kwa hizi siku za karibuni umekuwa na itikadi za kiukawa ukawa!! Ulianzia kwa Babu Tale!
Vipi, mmepunguzwa kazi ghafla hapo Lumumba kwa sababu ya hili tatizo la upumuaji na hivyo kutofurahishwa na hayo maamuzi?
Covid haipendi dharauKule US **** Askofu aliwakatalia kabisa waumini kufuata maelekezo yoyote ya kujikinga na corona, haikuchukua muda, ikamchukua yeye kwanza. Baada ya pale waumini wakapata jibu sahihi.
Na wakati fulani Mungu hutenda hivyo ili kuwaokoa wajinga ambao wangeangamizwa na watu wenye kutoa mafundisho potofu kama ya huyu tapeli kwa kupitia neno la Mungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha weeeeBora huyu!
Je, aliyesema wafungwa wachukue nafasi ya askari magereza waliostaafu
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
Hawa watu wa sisiemu ni tabu tupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha weeee