Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
InasikitiishaHapa Duniani kuna watu punguani hasa. Yaani na huyu tapeli eti ana kanisa, na kuna watu huwa wanaenda kumsikiliza!!
Huyu ni njia ya kuelekea jehanam.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
InasikitiishaHapa Duniani kuna watu punguani hasa. Yaani na huyu tapeli eti ana kanisa, na kuna watu huwa wanaenda kumsikiliza!!
Huyu ni njia ya kuelekea jehanam.
Wakatia akichangia hoja Bungeni, leo tarehe 10 Februari, 2021, Mbunge huyo wa Jimbo la Kawe amesema:
"Kuna ugonjwa wa Covid-19 ambao umetikisa dunia na nchi yetu imechukua msimamo tofauti na nchi nyingine zozote.
Waheshimiwa Wabunge, natumia nafasi hii kuwatia moyo. Msiogope. Msiogope mnapoambiwa kwamba kuna phase ya pili ya Covid-19. Kilicho na nguvu nyuma ya Covid-19 ni woga uliotengenezwa juu ya Covid-19. The fear of Covid-19 is even [more] powerful than Covid-19 itself (Woga wa Covid-19 una nguvu zaidi ya ugonjwa wenyewe)
Watanzania wote na watu wote, tushinde woga. Tusiogope, tumeshinda na tusonge mbele. Na msimamo wetu wa kutokuchanjwa na msimamo wetu wa kutokufanya social distancing ni msimamo sahihi na utatufikisha mahala sahihi."
Hivi mtu kama huyu anaweza akawa ana akili timamu?
Gwajima ana MUNGU hawezi kupata coronaHalafu bhana huu ugonjwa ulivyo ukiuponda tuu unaanza na wewe ulieuponda hivyo msishangae ukapita nae
Hao ma padre wanaokufa tena wenye elimu kuliko yake wao hawana mungu??Gwajima ana MUNGU hawezi kupata corona
kusomea upadri na kuwa na MUNGU ni vitu viwili tofautiHao ma padre wanaokufa tena wenye elimu kuliko yake wao hawana mungu??
Sent using Jamii Forums mobile app