joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Nani aliyewapa mawaidha?, nimeuliza kuhusu ile katiba iliyosemekana ni bora duniani, vipi tena mnasema kwamba haifai inakandamiza demokrasia?Leo raia wa Magufulistan anawapa wakenya mawaidha kuhusu katiba na demokrasia, maajabu haya. Nasikia huko mmevunja rekodi ya dunia baada ya kushinda uchaguzi kwa asilimia 99.
Katiba gani hyo ambayo haifai...hemu tujuze jombaNani aliyewapa mawaidha?, nimeuliza kuhusu ile katiba iliyosemekana ni bora duniani, vipi tena mnasema kwamba haifai inakandamiza demokrasia?
Nani aliyewapa mawaidha?, nimeuliza kuhusu ile katiba iliyosemekana ni bora duniani, vipi tena mnasema kwamba haifai inakandamiza demokrasia?
Umemsikia huyo Mbunge katika hiyo video anavyosema kuhusu katiba ya Kenya?Katiba gani hyo ambayo haifai...hemu tujuze jomba
Hahahaha, huko kote siko nilikouliza, Mimi nimeuliza kuhusu huyu mbunge toka "Rift valley" abayesema kwamba hii katiba ya Kenya kwamba inakandamiza demokrasia, inaonekana ana matatizo ya akili, kwasababu katiba ya Kenya ni " best" in Africa, vipi tena iwe inakandamiza demokrasia?Pambana na hali yako, mbona mkanunua madiwani watano wa Arusha kutoka chadema wajiuzulu ili wajiunge na CCM? Mbona ukandamizaji wa demokrasia kiasi hicho kwamba mpinzani una muona adui?. Yule aliekua mgombeaji wa kiti Cha udiwani mbona kauawa ? Masikini mtoto alikua bado mdogo lakini mkamkomaza kwa kifo.
Tunasema sio? Tafuta hobby nyingine jombaa. Huna moral authority yeyote kama mtz ya kuponda katiba au demokrasi ya Kenya. Hivyo ni vitu ambavyo vikitajwa pamoja na Tz kwenye sentensi moja huwa vinaandamana na maneno kama kukiuka kukandamiza, kunajisi, kuminya n.k, n.k.Nani aliyewapa mawaidha?, nimeuliza kuhusu ile katiba iliyosemekana ni bora duniani, vipi tena mnasema kwamba haifai inakandamiza demokrasia?
Kwhyo unamskiza mbunge anavyosema au unaifuata katiba inavyosema..Umemsikia huyo Mbunge katika hiyo video anavyosema kuhusu katiba ya Kenya?
Huyu ni shabiki tumemzoea na ndugu yake gezaKwhyo unamskiza mbunge anavyosema au unaifuata katiba inavyosema..
Labda wewe na huyo mbunge mtupe hicho kifungu ambacho kinaminya demokrasia
Aliyesema katiba ni nzuri sio katiba ila ni wakenya ndio waliosema kwamba katiba ni " the best", tunashangaa wakenya hao hao ndio wanasema sio nzuri inakandamiza Demokrasia.Kwhyo unamskiza mbunge anavyosema au unaifuata katiba inavyosema..
Labda wewe na huyo mbunge mtupe hicho kifungu ambacho kinaminya demokrasia
Acha kupanic kaka, wakenya wenzako, tena wabunge waliochaguliwa na wakenya, wao wanalosema linawakilisha watu wengi, ndio wanaosema katiba sio nzuri inakandamiza demokrasia, acha kunishambulia Mimi.Tunasema sio? Tafuta hobby nyingine jombaa. Huna moral authority yeyote kama mtz ya kuponda katiba au demokrasi ya Kenya. Hivyo ni vitu ambavyo vikitajwa pamoja na Tz kwenye sentensi moja huwa vinaandamana na maneno kama kukiuka kukandamiza, kunajisi, kuminya n.k, n.k.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]leo mbunge wa rift valley kawa wakenya..Aliyesema katiba ni nzuri sio katiba ila ni wakenya ndio waliosema kwamba katiba ni " the best", tunashangaa wakenya hao hao ndio wanasema sio nzuri inakandamiza Demokrasia.
Sasa kati ya mbunge ansyewakilisha watu wengi na wewe unayewakilisha "kende" zako, nani akisema anapaswa kupewa uzito?, kwani waliosema katiba ni nzuri ni wakenya wote?, walikuwa ni watu mmoja mmoja kama huyu mbunge.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]leo mbunge wa rift valley kawa wakenya..
Endelea kuwasikiza wanasiasa tu, ndio manake hko kwenu hata wakiwatia shimoni jamaa hawakemei..ni mwendo wa ndio mkuu[emoji38][emoji38]
Mbna una ruka ruka jomba, labda hko kwenu ndio akili zenu zimeshikiliwa na viongozi...Sasa kati ya mbunge ansyewakilisha watu wengi na wewe unayewakilisha "kende" zako, nani akisema anapaswa kupewa uzito?, kwani waliosema katiba ni nzuri ni wakenya wote?, walikuwa ni watu mmoja mmoja kama huyu mbunge.
Ndio sababu ukabila hautoisha kwenu, sasa maana ya Mbunge ni nini kama sio kuwakilisha wananchi waliomchagua?.Mbna una ruka ruka jomba, labda hko kwenu ndio akili zenu zimeshikiliwa na viongozi...
Eti mbunge ananiwakilisha mm, yani akili zangu mm nizichukue anitunzie mbunge km vile mlivyompa makonda akili zenu
Hahahaha, huko kote siko nilikouliza, Mimi nimeuliza kuhusu huyu mbunge toka "Rift valley" abayesema kwamba hii katiba ya Kenya kwamba inakandamiza demokrasia, inaonekana ana matatizo ya akili, kwasababu katiba ya Kenya ni " best" in Africa, vipi tena iwe inakandamiza demokrasia?
Huyo mtoto hakustahili kifo alikua bado mdogo mno pia yeye alikua anajaribu tu kutafuta maisha.Hahahaha, huko kote siko nilikouliza, Mimi nimeuliza kuhusu huyu mbunge toka "Rift valley" abayesema kwamba hii katiba ya Kenya kwamba inakandamiza demokrasia, inaonekana ana matatizo ya akili, kwasababu katiba ya Kenya ni " best" in Africa, vipi tena iwe inakandamiza demokrasia?