Mbunge wa Kenya afuata nyayo za Prof. Kabudi, atoa hotuba nzuri kwa Kiswahili safi sana

Tatizo bi moja kwamba haitambui kiongozi wa upinzani, yule amekua namba two after president anakua raia wa kawaida na ndio maana Raila odinga analia hakutambuliwa kile kipindi Cha Kwanza Cha uongozi wa Uhuru aliposhindwa 2017 akamua kufanya handshake na Uhuru,huyo dawa yake ni moja tu Bora umpe red carpet na gari kubwa basi anarizika.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Lengo langu ni kuonyesha kwamba, hakuna katiba mbaya au nzuri hapa duniani, katiba nzuri ni ile inayoendana na mazingira ya nchi husika katika wakati husika, katiba inaweza kuwa nzuri Kenya, lakini isiwe nzuri kwa Rwanda au Uganda, kwahiyo ile kauli ya kusema "Kenya has the best Constitution in Africa", haina mashiko yoyote na sio sahihi.
 
Leo raia wa Magufulistan anawapa wakenya mawaidha kuhusu katiba na demokrasia, maajabu haya. Nasikia huko mmevunja rekodi ya dunia baada ya kushinda uchaguzi kwa asilimia 99.
Huu wetu sio uchaguzi ni ujinga
Ni aibu kwa taifa
Miaka 58 ya uhuru bado tuna mambo ya hovyo.
 
Umesahau Kenya NASA ilisusia uchaguzi mkuu Jubilee ikachaguliwa bila upinzani?
Vyama vyote vingine vya upinzani vilikuwepo. Acha kuwahadaa watu. Alafu jina la mgombea urais wa NASA lilikuwa kwenye karatasi ya kupigia kura. Kwasababu RAO alitoa kauli ya kususia dakika za mwisho akiwa na nia ya kuvuruga uchaguzi huo wa pili. Kama unakumbuka vizuri, hatua yake hiyo ndio ilifanya mahakama itupilie mbali kesi yake ya pili ya kupinga matokeo na itangaze ushindi wa rais U.Kenyatta.
 
NASA ni muunganiko wa vyama Vingi na vikubwa vya upinzani, ODM, WIPER, ANC na Ford Kenya, vikijitoa hivyo hakuna vyama vya maana vilivyobaki zaidi ya vyama vilivyonunuliwa na Jubilee, taja ni chama kipi chenye nguvu kilichoshiriki baada ya NASA kujitoa?.

Hata huku, majina ya wagombea wa vyama vya upinzani, wale waliokidhi vigezo yalikuwepo ktk karatasi za kura, kwasasa wakati vyama vinatangaza kujitoa, tayari karatasi zilishaanza kuchapishwa.
 
Lengo langu ni kuonyesha kwamba, hakuna katiba mbaya au nzuri hapa duniani, katiba nzuri ni ile inayoendana na mazingira ya nchi husika katika wakati husika, katiba inaweza kuwa nzuri Kenya, lakini isiwe nzuri kwa Rwanda au Uganda, kwahiyo ile kauli ya kusema "Kenya has the best Constitution in Africa", haina mashiko yoyote na sio sahihi.
As you wish
 
Huaga unaniskiza raha unapo force vitu...raila kakiuka sheria ya mahakama, mahakama ilitoa amri uchaguzi uanze upya yeye kajitoa..sasa matatizo ni yake tofauti na hko kwenu mtu anajitoa hata kabla ya uchaguzi kufanyika[emoji1787][emoji1787]
 
Hawajui "The philosophy of law". The law which is not compatible with the norms, culture, social infrastructure is a bad law.
 
Huaga unaniskiza raha unapo force vitu...raila kakiuka sheria ya mahakama, mahakama ilitoa amri uchaguzi uanze upya yeye kajitoa..sasa matatizo ni yake tofauti na hko kwenu mtu anajitoa hata kabla ya uchaguzi kufanyika[emoji1787][emoji1787]
Anajaribu kulazimisha na kuhalalisha upuuzi unaofanywa na chama chao na serikali yao. Ubishi wa kitoto kama huo huwa sina muda nao. Yeye anaikashifu katiba ya Kenya wakati kwao wapinzani walikuwa wanapata ofisi zimefungwa walipokuwa wanarejesha fomu za uchaguzi. Yaani tume ya uchaguzi inafata maagizo ya chama kimoja na serikali, hamna cha kuheshimu katiba wala nini. Alafu mahakamani sasa ndio usiseme, wapinzani wa Tz hawana afueni kabisa. Only in a shithole like Tz.
 
Hzo ndo akili za joto la jiwe bwana..
Mzoee tu
 
Hzo ndo akili za joto la jiwe bwana..
Mzoee tu
Ninyi wakenya ni watu wajinga sana, Raila aliamua kutoshiriki uchaguzi baada ya mahaka kuamrisha tume ya uchaguzi ya Kenya kuruhusu " servers " zifunguliwe na zichunguzwe lakini ikakataa kufanya hivyo kutokana na shindikizo la Jubilee, sasa ulitaka NASA warudi tena katika uchaguzi wakati tume na "Servers" ni zile zile?, unakumbuka msemo wa vifaranga vya komputer?.

Tatizo la "Elections injustice" ndio linaloisumbua Kenya tangu 1963, mnajaribu kuandika katiba, BBI na kila aina ya "documents" lakini hakuna kibachorekebishika.
 
Ninyi wakenya hamna akili hamuwezi kushindana na akili kubwa. Kushiriki au kutoshiriki uchaguzi ni haki ya mtu ama chama husika, hasa mtu anapodhani haki haitendeki.

Upinzani Kenya walikataa kushiriki uchaguzi wa marudio baada ya amri ya MAHAKAMA ya kutaka "server" zifunguliwe kutokutekelezwa na tume ya uchaguzi, NASA ilitoa hoja ya kuwabadilisha viongozi wa tume kwasababu hawakuwa na imani nao tena lakini ilishindikana, sasa ulitaka wakubali kurudi katika uchaguzi wa marudio katika mazingira hayo?

Hata ukasema nini jomba, ligi yenu hatuwezi fikia...
 
Ninyi wakenya hamna akili hamuwezi kushindana na akili kubwa. Kushiriki au kutoshiriki uchaguzi ni haki ya mtu ama chama husika, hasa mtu anapodhani haki haitendeki.

Upinzani Kenya walikataa kushiriki uchaguzi wa marudio baada ya amri ya MAHAKAMA ya kutaka "server" zifunguliwe kutokutekelezwa na tume ya uchaguzi, NASA ilitoa hoja ya kuwabadilisha viongozi wa tume kwasababu hawakuwa na imani nao tena lakini ilishindikana, sasa ulitaka wakubali kurudi katika uchaguzi wa marudio katika mazingira hayo?
We too much know sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona unajaribu ku force lkn imeshindikana...kesi mahakamani ilkua ya kupinga uchaguzi wala haikuwa ya servers...
Maraga akaupiga na chini uchaguzi ule na kuamuru jamaa warudie tena...hyo sijui yakufunguliwa kw servers kaileta majukwaa mara kidogo kidogo eti hawatopigania tena...
Mbna hakuisema hyo hoja pale mahakamani uchaguzi ulipotenguliwa, badala yake walisherehekea na kukenua meno..

Nilimdharau sana raila tangia hyo day, watu wameandamana wakapigwa shaba halafu wewe unaleta upuuzi
 
Watanzania kweli ni wajinga, Sasa wewe unataka kutuaminisha kuwa ni wapinzani pekee ambao hawajaenda skuli? , Maana wasimamizi wa uchaguzi walitoa kauli wakisema eti Hawa chadema wengi wao hawakuandika majina vizuri jinsi yalivyo kwenye vitambulisho na pia hawakujua vizuri nyadhifa wanazowania,we huoni kwamba huo ni uhujuma wa CCM kwa upinzani.
NASA ni muunganiko wa vyama Vingi na vikubwa vya upinzani, ODM, WIPER, ANC na Ford Kenya, vikijitoa hivyo hakuna vyama vya maana vilivyobaki zaidi ya vyama vilivyonunuliwa na Jubilee, taja ni chama kipi chenye nguvu kilichoshiriki baada ya NASA kujitoa?.

Hata huku, majina ya wagombea wa vyama vya upinzani, wale waliokidhi vigezo yalikuwepo ktk karatasi za kura, kwasasa wakati vyama vinatangaza kujitoa, tayari karatasi zilishaanza kuchapishwa.
 
Watanzania kweli ni wajinga, Sasa wewe unataka kutuaminisha kuwa ni wapinzani pekee ambao hawajaenda skuli? , Maana wasimamizi wa uchaguzi walitoa kauli wakisema eti Hawa chadema wengi wao hawakuandika majina vizuri jinsi yalivyo kwenye vitambulisho na pia hawakujua vizuri nyadhifa wanazowania,we huoni kwamba huo ni uhujuma wa CCM kwa upinzani.
Unakumbuka nilikuambia ninyi ni watu wakenya ni watu wagumu kujadili mada?, uwezo wenu wa akili ni mdogo sana, unakumbuka Yule mwenzako alivyokua anakuvuruga?.

Hivi wewe ukiambiwa ukacheze mpira dhidi ya timu pinzani na ukaonyeshwa muamuzi atakayesimamia hiyo mechi, na ukaonyeshwa sehemu ambayo utalazimika kwenda iwapo haki haijatendeka, na ukakubali kwenda uwanjani, ulipofika ukakuta kuna matatizo, ukaamua kutoka uwanjani badala ya kwenda kule ulikoambiwa ukatoe malalamiko yako, utakua na akili kweli?.

Wapinzani wa Tanzania ni vichaa, hii nchi sio banana Republic, walipaswa kwenda mahakamani sio kujitoa kabla hawajamaliza kufuata hatua zote za kisheria, kama hawana imani na MAHAKAMA au mifumo yote ya nchi, kwanini waliamua kwenda katika uchaguzi?, hawa ni vichaa sana, ndio sababu viongozi na wana chama wao wanawatoroka kwa kasi kubwa.
 
We too much know sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona unajaribu ku force lkn imeshindikana...kesi mahakamani ilkua ya kupinga uchaguzi wala haikuwa ya servers...
Maraga akaupiga na chini uchaguzi ule na kuamuru jamaa warudie tena...hyo sijui yakufunguliwa kw servers kaileta majukwaa mara kidogo kidogo eti hawatopigania tena...
Mbna hakuisema hyo hoja pale mahakamani uchaguzi ulipotenguliwa, badala yake walisherehekea na kukenua meno..

Nilimdharau sana raila tangia hyo day, watu wameandamana wakapigwa shaba halafu wewe unaleta upuuzi
Wewe bila Shaka ni mkikuyu ndio sababu lolote linalofanywa na wakikuyu unaliunga mkono. MAHAKAMA ilifuta matokeo ya uchaguzi na kuamrisha mambo mawili yafanyike
1)Uchaguzi urudiwe baada ya kutokidhi kiwango.
2)Servers zifunguliwe ili taarifa ziwe wazi.

NASA wakasema wapo tayari kurudi katika uchaguzi baada ya
1)Servers kufunguliwa
2)Uongozi mzima wa tume ya uchaguzi kubadilisha.

Tume ya uchaguzi ikakataa kujiuzulu na inakataa kufungua "servers", badala yake ikaendelea kuandaa uchaguzi chini ya shindikizo la Jubilee, huku CJ akipokea vitisho toka kwa Uhuru Kenyatta
 
Back
Top Bottom