komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mkikuyu anayeitwa komora[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Wewe bila Shaka ni mkikuyu ndio sababu lolote linalofanywa na wakikuyu unaliunga mkono. MAHAKAMA ilifuta matokeo ya uchaguzi na kuamrisha mambo mawili yafanyike
1)Uchaguzi urudiwe baada ya kutokidhi kiwango.
2)Servers zifunguliwe ili taarifa ziwe wazi.
NASA wakasema wapo tayari kurudi katika uchaguzi baada ya
1)Servers kufunguliwa
2)Uongozi mzima wa tume ya uchaguzi kubadilisha.
Tume ya uchaguzi ikakataa kujiuzulu na inakataa kufungua "servers", badala yake ikaendelea kuandaa uchaguzi chini ya shindikizo la Jubilee, huku CJ akipokea vitisho toka kwa Uhuru Kenyatta
Endelea ku force tu