Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Imagine unaishi Africa chini ya Utawala wa CCM.....wanawaza kuua Tu muda woteHizi ndizo gharama za kuishi barani Africa.
Eeh Mungu wabariki wazubgu.
Ni msiba mkuu.Imagine unaishi Africa chini ya Utawala wa CCM.....wanawaza kuua Tu muda wote
Wewe na nani mnaokula na kusaza? Wewe shoger kama unakula na kusaza vipi bibi na babu, mjomba na shangazi na ndg zako huko kijijini wanakula na kusaza?Jamaa wana madharau sana na Tanzania......... ati "we cannot be spoken the same with countries like Tanzania".
Wangejua Tanzania ni kama paradiso tofauti na hilo Jangwa lao....
Sijui ni zile propaganda wanalishwa na kina Moi na Kenyatta!
How can a desert like Kenya be better than Tanzania? Tunakula na kusaza, amani na furaha tele, elimu, miundombinu, uchumi wa kati.
Mbowe akifanya uhuni lazima ashughulikiwe na genge lake.
Jamaa wana madharau sana na Tanzania......... ati "we cannot be spoken the same with countries like Tanzania".
Wangejua Tanzania ni kama paradiso tofauti na hilo Jangwa lao....
Sijui ni zile propaganda wanalishwa na kina Moi na Kenyatta!
How can a desert like Kenya be better than Tanzania? Tunakula na kusaza, amani na furaha tele, elimu, miundombinu, uchumi wa kati.
Mbowe akifanya uhuni lazima ashughulikiwe na genge lake.
Haulimi unategemea kudoea mahindi ya kuchoma lazima udate we choko-Raa.Wewe na nani mnaokula na kusaza? Wewe shoger kama unakula na kusaza vipi bibi na babu, mjomba na shangazi na ndg zako huko kijijini wanakula na kusaza?
Unalimia kitandani kuwakatikia wanaume wenzako sio? Nchi hii mpaka mashoger mnajiona mna akili timamuHaulimi unategemea kudoea mahindi ya kuchoma lazima udate we choko-Raa.
Sisi tunalima huku, tunakula mpaka tunachoka.
Inasikitisha sana mtu kachoma picha tu kapotezwa.Kuna mambo ya ajabu sana kwa viongozi wa kiafrika.
Akili zao nyeusi sana, unafikia maamuzi ya kuua wapinzani unakuwa na akili kweli?
Mtu kukosoa imekuwa dhambi?
Waafrika aliyetuloga basi tu
Usikariri taarifa za hovyohovyo.Kwa sasa Tanzania ni nchi ya kutolea mifano ya mambo yote ya kijinga.Jamaa wana madharau sana na Tanzania......... ati "we cannot be spoken the same with countries like Tanzania".
Wangejua Tanzania ni kama paradiso tofauti na hilo Jangwa lao....
Sijui ni zile propaganda wanalishwa na kina Moi na Kenyatta!
How can a desert like Kenya be better than Tanzania? Tunakula na kusaza, amani na furaha tele, elimu, miundombinu, uchumi wa kati.
Mbowe akifanya uhuni lazima ashughulikiwe na genge lake.
Unatakaje sasa mbona una hasira sana? 😂😂😂Unalimia kitandani kuwakatikia wanaume wenzako sio? Nchi hii mpaka mashoger mnajiona mna akili timamu
Kama Una kiingereza kidogo hebu pata points mbili TATU hapo, majirani wameshaanza kutuTolea case study....
Hapa wanamkaanga Ruto, huku Sisi tunampigia Makofi Samia kwa Utekaji.
View attachment 3101896
Hizi ndizo gharama za kuishi barani Africa.
Eeh Mungu wabariki wazungu.
Tuwashtaki UN
Wamevuka Mipaka
Nchi zote za kiarabu zîpo kwèñye tàbia ya nchi za ujangwa Lakini zipo Mbali kimaendeleo Kwa sababu ya Matumizi Sahihi ya Àkili
Dubai Ipo kwèñye listi ya Majiji matatu Duniani yanayotembelewa na Watu Kwa sababu ya Ûzuri. Na Ipo jangwani
Inasikitisha sana mtu kachoma picha tu kapotezwa.
Usikariri taarifa za hovyohovyo.Kwa sasa Tanzania ni nchi ya kutolea mifano ya mambo yote ya kijinga.
Kuna mambo ya ajabu sana kwa viongozi wa kiafrika.
Akili zao nyeusi sana, unafikia maamuzi ya kuua wapinzani unakuwa na akili kweli?
Mtu kukosoa imekuwa dhambi?
Waafrika aliyetuloga basi tu
Kuna mjinga mmoja alipost humu JF kuwa nchi za Africa zimefurahishwa na hotuba ya MkuluKama Una kiingereza kidogo hebu pata points mbili TATU hapo, majirani wameshaanza kutuTolea case study....
Hapa wanamkaanga Ruto, huku Sisi tunampigia Makofi Samia kwa Utekaji.
View attachment 3101896
Kwa akili yako ya kiccm, unadhani ni Mbowe tu anayefanya uhuni?Jamaa wana madharau sana na Tanzania......... ati "we cannot be spoken the same with countries like Tanzania".
Wangejua Tanzania ni kama paradiso tofauti na hilo Jangwa lao....
Sijui ni zile propaganda wanalishwa na kina Moi na Kenyatta!
How can a desert like Kenya be better than Tanzania? Tunakula na kusaza, amani na furaha tele, elimu, miundombinu, uchumi wa kati.
Mbowe akifanya uhuni lazima ashughulikiwe na genge lake.
Ukisoma Historia unagundua hata wazungu nao walikuwa vivi hivi kama Sisi."Let us agreed that Black people cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
" Whom are we to ask"? Samia Suluhu Hassan ? 😂Kama Una kiingereza kidogo hebu pata points mbili TATU hapo, majirani wameshaanza kutuTolea case study....
Hapa wanamkaanga Ruto, huku Sisi tunampigia Makofi Samia kwa Utekaji.
View attachment 3101896
A: is the correct answer" Whom are we to ask? Samia Suluhu Hassan ? 😂