Mbunge wa Kenya atoa mfano bungeni kuhusu matukio ya utekaji na mauaji Tanzania

Mbunge wa Kenya atoa mfano bungeni kuhusu matukio ya utekaji na mauaji Tanzania

Wewe ni kichwa cha bata kabisa.😂
20240921_143827.jpg
 
Huna macho?, hulinganishi?, Uoni? Tena baadhi ya sekta kama umeme vijijini Kenya tumeiacha mbali sana.
Usipende kudanganya watu kwenye kipindi hiki cha utandawazi.
EBU PITIA HIZO TAKWIMU HAPO CHINI 👇🏿 👇🏿
Screenshot_20240921-162244~2.png


Mwaka 2022, rural electrification ilikuwa 65.6%. Mwaka 2024 wamefikia 75%. Malengo yao mwaka 2030 wafikie 100%.
Screenshot_20240921-161725.png

Takwimu za mwaka 2023 kwa Tanzania ni 23%. Labda kama una takwimu nyingine zilifanyiwa utafiti, basi ulete!
Screenshot_20240921-161801~2.png
 
Jamaa wana madharau sana na Tanzania......... ati "we cannot be spoken the same with countries like Tanzania".

Wangejua Tanzania ni kama paradiso tofauti na hilo Jangwa lao....

Sijui ni zile propaganda wanalishwa na kina Moi na Kenyatta!

How can a desert like Kenya be better than Tanzania? Tunakula na kusaza, amani na furaha tele, elimu, miundombinu, uchumi wa kati.

Mbowe akifanya uhuni lazima ashughulikiwe na genge lake.
Mkuu unaishi mbingu ipi?
 
Back
Top Bottom