Mbunge wa Kenya atoa mfano bungeni kuhusu matukio ya utekaji na mauaji Tanzania

Mbunge wa Kenya atoa mfano bungeni kuhusu matukio ya utekaji na mauaji Tanzania

Wewe na nani mnaokula na kusaza? Wewe shoger kama unakula na kusaza vipi bibi na babu, mjomba na shangazi na ndg zako huko kijijini wanakula na kusaza?
Huyo ni choko mtoto ana laana sana kazaliwa vizuri mwanaume ila wanadamu wamemuharibu
 
Hiyo inaitwa "kasumba" mataifa yaliidharau sana China wakati huo, lakini leo hii heshima tele na hofu, Kenya bado wanayo waliyolishwa zama zile, kumbe Tanzania inakimbia sana na upesi sana, good flight✔ET✔and more is coming!
Inakimbia kwenye nini? Au wanapodai mama anaupiga mwingi wewe ndio unadhani maendeleo?
 
Unatakaje sasa mbona una hasira sana? 😂😂😂

Mboro lazima nizikatikie lakini tayari nikiwa nimeshiba ugali ili nijambe vizuri.

Endelea kudoea mahindi ya kuchoma huku ukilalalama na kunionea donge ninavyojambia miboro.

Cc: Mwachiluwi
Ulizaliwa vizuri mwanaume ila bila aibu leo umekuwa shoga aisee walimwengu ni katili sana
 
Jamaa wana madharau sana na Tanzania......... ati "we cannot be spoken the same with countries like Tanzania".

Wangejua Tanzania ni kama paradiso tofauti na hilo Jangwa lao....

Sijui ni zile propaganda wanalishwa na kina Moi na Kenyatta!

How can a desert like Kenya be better than Tanzania? Tunakula na kusaza, amani na furaha tele, elimu, miundombinu, uchumi wa kati.

Mbowe akifanya uhuni lazima ashughulikiwe na genge lake.
Kuna vitu huvielewi au wewe mwenyewe hujielewi.
 
Huna macho?, hulinganishi?, Uoni? Tena baadhi ya sekta kama umeme vijijini Kenya tumeiacha mbali sana.
Hivyo ni vijiji vya wapi unavyovizungumzia? Kwasababu mimi naishi kijijini na shughuli zangu zipo huku na umaskini unanuka mno huku niliko na watawala tulionao wao wanachowaza ni samia tena 2025 tu wala hawawazi kumuondolea mkulima umaskini alionao....elimu yetu nayo imepitwa na wakati inazalisha vijana viazi kama wewe ambapo badala ya kutafuta suluhu kwakutumia hiyo munayoita elimu muliyonayo ili haya mazao ya vitunguu,parachichi,nyanya,kahawa na Tanzanite ambavyo wakenya wanakuja kulangua huku wanaenda kuuza huko kwenye masoko ya kimataifa huku wanadai vimetoka nchini mwao na sisi tunaishia kuwaita matapeli
 
Kuna mambo ya ajabu sana kwa viongozi wa kiafrika.

Akili zao nyeusi sana, unafikia maamuzi ya kuua wapinzani unakuwa na akili kweli?
Mtu kukosoa imekuwa dhambi?

Waafrika aliyetuloga basi tu
Waafrika wengi hwakosoi utawala,mara nyingi wanatoa matusi tu na kudhalilisha viongozi waliopo madarkani
 
Huna macho?, hulinganishi?, Uoni? Tena baadhi ya sekta kama umeme vijijini Kenya tumeiacha mbali sana.
Aiiiii hii nayo ni chai.
Umeme gani unasema,si at least Magu ndio alijaribu huko vijijini wapate umeme na bei akashusha,sasa hivi alipoishia mambo yako vile vile.
Kenya kasehemu kadogo tu supermarket kubwa hukosi ije kuwa umeme?
 
We cannot spoken the same as shithole country where opposition leaders are taken on buses Infront of people and killed but their president say death is death.we cannot allow this ignorance to be happening in kenya.jamaa wameamua kutusemea. safi sana.
 
Wanashangaa tukio la Tanzania kiongozi wa chama cha kisiasa CHADEMA kutekwa kutoka ndani ya basi, huo ni ugaidi unaotakiwa kupigwa vita.

Ni jambo zuri kuona mjadala wa vitendo vya Polisi kuteka raia unajadiliwa ktk bunge la ma senator live / mubashara nchini Kenya .
 
"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the Government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."

Oliver Reginald Tambo, a former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.
 
Jamaa wana madharau sana na Tanzania......... ati "we cannot be spoken the same with countries like Tanzania".

Wangejua Tanzania ni kama paradiso tofauti na hilo Jangwa lao....

Sijui ni zile propaganda wanalishwa na kina Moi na Kenyatta!

How can a desert like Kenya be better than Tanzania? Tunakula na kusaza, amani na furaha tele, elimu, miundombinu, uchumi wa kati.

Mbowe akifanya uhuni lazima ashughulikiwe na genge lake.
Admins mngeona nilichoandika mmngenipiga ban
 
Back
Top Bottom