Mbunge wa Kenya atoa mfano bungeni kuhusu matukio ya utekaji na mauaji Tanzania

Huna macho?, hulinganishi?, Uoni? Tena baadhi ya sekta kama umeme vijijini Kenya tumeiacha mbali sana.
Usipende kudanganya watu kwenye kipindi hiki cha utandawazi.
EBU PITIA HIZO TAKWIMU HAPO CHINI πŸ‘‡πŸΏ πŸ‘‡πŸΏ


Mwaka 2022, rural electrification ilikuwa 65.6%. Mwaka 2024 wamefikia 75%. Malengo yao mwaka 2030 wafikie 100%.

Takwimu za mwaka 2023 kwa Tanzania ni 23%. Labda kama una takwimu nyingine zilifanyiwa utafiti, basi ulete!
 
Mkuu unaishi mbingu ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…