Mbunge wa Kenya Babu Owino ataka Rais Samia apigwe marufuku ya kuingia Kenya kwa udhalilishaji

Na
Unajua shida itakuwa kwa nani? Ni kama kutangaza vita, ubalozi ni nchi huwezi kwenda tu kisa ubalozi upo katika nchi yako

Kuna taratibu zake, na wananchi wakifanya hivyo basi serikali ya Kenya inatakiwa kuwajibika
Nafahamu, naelewa...

Hatuwezi kujikomboa unless haya yametokea...

Huwezi kuchukua haki yako vinginevyo umemtia adabu aliyeishikilia, ukamshinda na kumnyang'anya iliyo haki yako...

CCM wanapaswa kushindwa na kisha kuwanyang'anya kwa nguvu haki zetu walizozikalia kwa maguvu miaka yote hii...!!

Hili👆haliwezekani kwa akili na nguvu za kobinadamu tu. Ila kwa msaada wa Mungu, tunayaweza mambo yote...

Mungu akiwa upande wetu, shetani gani atakuwa juu yetu...?

Je, ni huyu Jezebel Mzanzibari na majini yake aliyopewa na mashekhe wake Juzi kati hapa...?

NO WAY...

Tunaelekea huko bila shaka..
 
Huyu ni kula naye sahani moja
 
Ndiyo maana kamwe atuwezi kupewa nafasi na watanzania kuongaza hii nchi,sababu tupo too emotional na radicals. Tunafikiria sana kufanya vurugu na vita kama ndiyo njia sahihi ya kuingia madarakani
 
Chawa watakuja mkuku mkuku kusema "aje Kenya kwa kipi hasa mlicho nacho?". Ngoja nijibanze kwenye Kona hapa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tangia hapo serikali ya tz imzuie Samia kwenda Kenya Al shabab wanalipua mabomu hovyo usalama ni mdogo.
 
Kumbe yule ni Mbunge? Nilijua ni mhuni tu
 
Yaani unavyoongea hata shetani anakuonea aibu. Au wewe ni shetani mwenzie?
 
Tunataka Solidarity Gez Z Kenya na Tanzania.
 
Huenda wanahitaji common enemy kuwaunganisha ili kupoteza makovu ya majeraha ya fujo walizofanyiana, sasa Tanzania sio perfect candidate.
 
Yaani unavyoongea hata shetani anakuonea aibu. Au wewe ni shetani mwenzie?
Mjinga wewe..

We unafikiri Mimi najiandikia bila ufahamu na maarifa..

Yesu Kristo anasema hivi katika Neno lake:

MARKO 3:27 SUV
"...Hawezi mtu kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu, na kuviteka vitu vyake, asipomfunga kwanza yule mwenye nguvu; ndipo atakapoiteka nyumba yake..."​

Unaelewa maana ya hili andiko au umenyweshwa maji ya kijani ya CCM na kuharibu akili zako kabisa hata huwezi kufikiri ktk upeo wa uelewa na ufahamu..?

Ni lazima kwanza CCM wote wakamatwe, wafungwe na kufutiliwa mbali ndipo tunaweza kuchukua haki zetu zilizoporwa kwa miaka zaidi ya 64...

Farao wa Misri ya kale ilibidi ashikishwe adabu na kuuwawa ndani ya vilindi vya bahari ya Shamu kwanza ndipo Israel akawa huru...

Hili linawezekana iwapo tutaukubali MSAADA WA MUNGU kupambana na hayawani hawa waitwao CCM...!
 
 
Maandiko hayo peleka Kanisani.Kuongea kwa Jazba eti CCM wote wakamatwe inaonekano bado mnacho kiwewe cha hali ya juu sana.Jazba,Mukari,hasira na yanayofanana na hayo asili yake ni Shetani tu.
 
Wakenya hawana ujinga na nchi yao ndio maana wametupita kimaendeleo njoo kwetu sasa ni huzuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…