Mbunge wa Kenya Babu Owino ataka Rais Samia apigwe marufuku ya kuingia Kenya kwa udhalilishaji

Watanzania wazalendo tunamuunga mkono huyu mbunge wa Kenya kuhudu zuio la mama abduli kuing'oa kenya.Kwa Sasa Dunia NZIMA haimtaki mama abduli
 
Wakuu,

Mambo yameendelea kupamba moto.

Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, ametaka Rais wa Tanzania Samia Suluhu apigwe marufuku kuingia nchini Kenya kwa sababu yoyote ile, kufuatia mvutano uliotokana na kuzuiliwa kwa mawakili watatu wa Kenya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa Babu Owino, Kenya inapaswa kulipa kisasi kwa kuzuia kiongozi huyo wa taifa kuingia nchini, baada ya serikali yake kuwakamata na kuwarudisha nyumbani Wakili Mwandamizi Martha Karua pamoja na mawakili wengine wawili siku ya Jumapili.

“Inatia wasiwasi kuona Wakenya wakinyanyaswa wanapokuja Tanzania. Kuwazuia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ni udhalilishaji, hakuhitajiki na ni uvunjaji wa haki za binadamu,” alisema Babu Owino.

=================================================

Embakasi East Member of Parliament Babu Owino wants Tanzanian President Samia Suluhu barred from entering Kenya for any reason as fallout over the detention of three Kenyan lawyers at the Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam continues.

According to Babu Owino, Kenya should return the favour and stop the Head of State from entering Kenya after her government detained and deported Senior Counsel Martha Karua and two other lawyers on Sunday.

In a statement on Sunday, March 18, the vocal MP, who is a fierce critic of the Kenya Kwanza government, faulted Tanzania for what he termed the mistreatment of Kenyans visiting the country.

Karua claimed immigration officials had confiscated her passport and held her at the airport without explanation.

Source: Kenyans.co.ke

Mdogo mdogo:

GrVDsZCXsAEK8ZK.jpeg

Kwa faida ipi?

CHILLA, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na wengine mboga mboga kule?
 
Apigwe marufuki kwenda ncho yoyote Duniani isipokuwa Somalia, Sudan na Afganstan.
 
Wakuu,

Mambo yameendelea kupamba moto.

Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, ametaka Rais wa Tanzania Samia Suluhu apigwe marufuku kuingia nchini Kenya kwa sababu yoyote ile, kufuatia mvutano uliotokana na kuzuiliwa kwa mawakili watatu wa Kenya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa Babu Owino, Kenya inapaswa kulipa kisasi kwa kuzuia kiongozi huyo wa taifa kuingia nchini, baada ya serikali yake kuwakamata na kuwarudisha nyumbani Wakili Mwandamizi Martha Karua pamoja na mawakili wengine wawili siku ya Jumapili.

“Inatia wasiwasi kuona Wakenya wakinyanyaswa wanapokuja Tanzania. Kuwazuia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ni udhalilishaji, hakuhitajiki na ni uvunjaji wa haki za binadamu,” alisema Babu Owino.

=================================================

Embakasi East Member of Parliament Babu Owino wants Tanzanian President Samia Suluhu barred from entering Kenya for any reason as fallout over the detention of three Kenyan lawyers at the Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam continues.

According to Babu Owino, Kenya should return the favour and stop the Head of State from entering Kenya after her government detained and deported Senior Counsel Martha Karua and two other lawyers on Sunday.

In a statement on Sunday, March 18, the vocal MP, who is a fierce critic of the Kenya Kwanza government, faulted Tanzania for what he termed the mistreatment of Kenyans visiting the country.

Karua claimed immigration officials had confiscated her passport and held her at the airport without explanation.

Source: Kenyans.co.ke

Usome uzi huu njinjo nduguye Lucas Mwashambwa maana Tlaatlaah, tayari dozi anayo.
 
Anatakiwa akujue kwamba Rais sio Baba Owino wala haendi Kenya kutembea au kwenye kesi Bali anaenda Kwa Ziara za kiserikali na rasmi.

So ataenda na hawana Cha kufanya.

View: https://www.instagram.com/p/DJ31URfC1rc/?igsh=MWNseG1xZHh5Y2J2cQ==
 
Msiposikiliza walio wa kwenu, basi Mungu atainua hata mawe au punda na miti kuwatetea Watanzania...!!

Asanteni Wakenya....

Next time, Samia Suluhu Hassan na serikali yake akiendelea hivi, nendeni hapo Kenya ubalozini kwao Watanzania, piga makofi kila aliyepo ofisini na kisha piga kiberiti jengo lote moto warudi kwao na huo ndio uwe mwisho wa mahusiano mpaka huyu Jezebel wa Tanzania atakapofukiwa chini...!!
Duu hii mpya kabisa, ni nini kitakachofanya tutu je uhusiano na nchi jirani mimi bado sijaona sababu ya msingi.
 
Halafu tukitoka hapo tunasema wabunge wa kenya ni wenye akili kushinda letu. Mmbunge gani ambae hajui hata kuchunga ndimi yake.

Kutokuwa na degree, hakukufanyi kuwa inferior kwa mtu mwenye degree.

Muhimu ni kuwa update na nafasi yako kwenye maisha (wabunge wanapitia training baada ya kuchaguliwa).

Mfano, wote humu kwenye hesabu za shule ya msingi leo ukituuliza tutaje ‘primary numbers 10’ papo kwa hapo wengi wetu baada ya 1,3,5,7,11,17 huko mbele mtihani.

Wakati Shabiby darasa la saba anaijua sector ya usafirishaji kushinda wengi wenye degree ya biashara.

Ni hivi mtu kutokuwa na degree aina ni ‘mbumbumbu’ tuache huu, ushamba na hizi dharau za hovyo.

Sasa iwaje ‘Msukuma, Shabiby na Tabasamu’ ambao wapo bungeni na darasa la saba.

Na hao watu wamekuzidi mapato kabla ya hata kuingia bungeni walikuwa na biashara na matajiri tayari.

Tuache hizi dharau, elimu sio kipimo cha mafanikio au akili kwenye maisha (ndio elimu inasaidia kwenye hiyo safari).
 
Dikteta Samia anapingwa kila kona ya dunia lakini bado ameshupaza shingo tu.
 
Back
Top Bottom