Mbunge wa Kenya Babu Owino ataka Rais Samia apigwe marufuku ya kuingia Kenya kwa udhalilishaji

Watanzania wazalendo tunamuunga mkono huyu mbunge wa Kenya kuhudu zuio la mama abduli kuing'oa kenya.Kwa Sasa Dunia NZIMA haimtaki mama abduli
 

Mdogo mdogo:



Kwa faida ipi?

CHILLA, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na wengine mboga mboga kule?
 
Apigwe marufuki kwenda ncho yoyote Duniani isipokuwa Somalia, Sudan na Afganstan.
 

Usome uzi huu njinjo nduguye Lucas Mwashambwa maana Tlaatlaah, tayari dozi anayo.
 
Anatakiwa akujue kwamba Rais sio Baba Owino wala haendi Kenya kutembea au kwenye kesi Bali anaenda Kwa Ziara za kiserikali na rasmi.

So ataenda na hawana Cha kufanya.

View: https://www.instagram.com/p/DJ31URfC1rc/?igsh=MWNseG1xZHh5Y2J2cQ==
 
Mbona legacy ya mama Abdul inaishia pabaya!
 
Duu hii mpya kabisa, ni nini kitakachofanya tutu je uhusiano na nchi jirani mimi bado sijaona sababu ya msingi.
 
Halafu tukitoka hapo tunasema wabunge wa kenya ni wenye akili kushinda letu. Mmbunge gani ambae hajui hata kuchunga ndimi yake.

Kutokuwa na degree, hakukufanyi kuwa inferior kwa mtu mwenye degree.

Muhimu ni kuwa update na nafasi yako kwenye maisha (wabunge wanapitia training baada ya kuchaguliwa).

Mfano, wote humu kwenye hesabu za shule ya msingi leo ukituuliza tutaje ‘primary numbers 10’ papo kwa hapo wengi wetu baada ya 1,3,5,7,11,17 huko mbele mtihani.

Wakati Shabiby darasa la saba anaijua sector ya usafirishaji kushinda wengi wenye degree ya biashara.

Ni hivi mtu kutokuwa na degree aina ni ‘mbumbumbu’ tuache huu, ushamba na hizi dharau za hovyo.

Sasa iwaje ‘Msukuma, Shabiby na Tabasamu’ ambao wapo bungeni na darasa la saba.

Na hao watu wamekuzidi mapato kabla ya hata kuingia bungeni walikuwa na biashara na matajiri tayari.

Tuache hizi dharau, elimu sio kipimo cha mafanikio au akili kwenye maisha (ndio elimu inasaidia kwenye hiyo safari).
 
Dikteta Samia anapingwa kila kona ya dunia lakini bado ameshupaza shingo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…