Vipi Lugola?Umeonaeeeee?
In God we Trust
Usiku atakwenda kulala homeSawa Sawa
Nitapambana Na Rushwa Bila Kigugumizi Chochote Na Dawa Ya Jipu Ni Kulitumbua
Nimejipa Kazi Ya Mtumbua Jipu
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji28][emoji1][emoji2][emoji1787]
Nia yao asishitakiwe wapate mada ya kuwapaisha kisiasa.Hapa Chadema Huwezi kuwaona
Watamlaumu Magufuli Kwanini ameacha Mbunge ashtakiwe
Lugola kapiga karibu 1T lakini yupo nje kuna watu 17M wapo ndaniKm wale wazee wa madini ambao rais aliwataja kwa mbwembwe na kujipatia utukufu akawaachia huyu kijani halisi ataachiwa tu........
Ukitaka mambo yako maovu yasitiriwe jiunge ccm basi