Nimeandika nadhani wamefuta kuwa 99% ya wanachama wa CCM ni majambazi, wanafiki, wako mle kwa ajili ya maslahi (wanamaslahi), wanafiki- hypocrites and all filths you can think of!Kweli ccm ni kichaka cha wahalifu
In God we Trust

ASAS aliombwa na CCM awe mfadhili wakati ule mchungaji Msigwa akiwa mpiga kampeni wa Lyatonga Mrema!Huyu kijana inawezekana ni jangili kweli , maana inafahamika kwamba aliingia ccm kimkakati kama alivyoingia ASAS ama kama alivyoingia Rostam .
Lakini kinachofahamika ni kwamba kesi yake haitadumu kwa vile lengo la wakamataji ni kumkamua kitita cha hela tu hasa baada ya kuonekana kwenye radar kwamba anamiliki ukwasi mzito .
# Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka .
Mkuu waharifu wote baada ya JPM kupitishwa kuwa mgombea wa CCM walikimbilia CHADEMA ,sasa nashangaa huyu alikuwa kajificha kwa mwamvuli upi,lakini kwakuwa serikali ya awamu ya tano haipendi uharifu nadhani umeona mwenyewe anavyoshughulikiwa
Na ili kuuonesha umma kuwa CCM sio kichaka cha majambazi ameandamwa na kosa la uhujumu uchumi ambalo halina dhanama
Ogopa sana CCM ya awamu ya tano mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa ni shida, bunduki 16 za nn? Utadhani ni kituo kidogo cha polisi, bila shaka Sheria itafanya kazi zidi yake!
TANZANIA BILA MAJANGIRI INAWEZEKANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu waharifu wote baada ya JPM kupitishwa kuwa mgombea wa CCM walikimbilia CHADEMA ,sasa nashangaa huyu alikuwa kajificha kwa mwamvuli upi,lakini kwakuwa serikali ya awamu ya tano haipendi uharifu nadhani umeona mwenyewe anavyoshughulikiwa
Na ili kuuonesha umma kuwa CCM sio kichaka cha majambazi ameandamwa na kosa la uhujumu uchumi ambalo halina dhanama
Ogopa sana CCM ya awamu ya tano mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna sheria iliyotungwa kwa ajili hela za hivyo , angalia Rostam alichofanya baada ya mdogo wake kudakwa , nyara za serikali zikabadilishwa na channel 10 kwa ccm .Kawaida naunga mkono yeyote anayejiusisha na ujangiri afilisiwe!
Sema hizo pesa ndio tunatakiwa kuhoji zinaenda mikononi mwa nani?
Kama ni mikononi mwa Jiwe ni ujangiri mwingine pesa ya uchaguzi inatafutwa na kuhonga wapinzani.
Huyu kijana inawezekana ni jangili kweli , maana inafahamika kwamba aliingia ccm kimkakati kama alivyoingia ASAS ama kama alivyoingia Rostam .
Lakini kinachofahamika ni kwamba kesi yake haitadumu kwa vile lengo la wakamataji ni kumkamua kitita cha hela tu hasa baada ya kuonekana kwenye radar kwamba anamiliki ukwasi mzito .
# Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka .
MO alikuwa na kosa gani hadi akatekwa na wenye nchi waliojipachika jina la Wazungu wawili ?Hakuna jema litafanyika katika uongozi huu ambalo mtapongeza,
Akikamatwa mwana Chadema, kasingiziwa kwa ajili ya siasa uonevu, akikamatwa mwana CCM, anazimwa asigombee mara visasi, au kaonekana ana pesa wanazitaka, asipokamatwa mwana CCM, eti wanalindana wote wezi, sasa mhalifu ni nani kama wote wanaonewa?
Nyie mmekuwa watetezi wa wahalifu?
Ndo maana watu wenye akiri wana wakimbia,
MO alikuwa na kosa gani hadi akatekwa na wenye nchi waliojipachika jina la Wazungu wawili ?
View attachment 1444279
Hujui kitu bwanamdogo , hii nchi ngumu sana !Hayo unajua wewe maana ulitumwa ukamteke kwa hiyo majibu unayo sio mimi.
Hujui kitu bwanamdogo , hii nchi ngumu sana !