Mbunge wa Kishapu(CCM), Suleiman Nchambi aliyekutwa na silaha 16 aburuzwa mahakamani, asomewa mashitaka 12

Mbunge wa Kishapu(CCM), Suleiman Nchambi aliyekutwa na silaha 16 aburuzwa mahakamani, asomewa mashitaka 12

Naona hawataki arudi bugeni! Kuna MTU anaandaliwa ka kiti
 
Kesi ya uhujumu uchumi? Inakuja kusikilizwa jumatatu? Tar 11-05-2020?
 
Swali la ufahamu, mahakama ya Wilaya ina uwezo wa kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi?
 
Mkuu waharifu wote baada ya JPM kupitishwa kuwa mgombea wa CCM walikimbilia CHADEMA ,sasa nashangaa huyu alikuwa kajificha kwa mwamvuli upi,lakini kwakuwa serikali ya awamu ya tano haipendi uharifu nadhani umeona mwenyewe anavyoshughulikiwa

Na ili kuuonesha umma kuwa CCM sio kichaka cha majambazi ameandamwa na kosa la uhujumu uchumi ambalo halina dhanama

Ogopa sana CCM ya awamu ya tano mkuu
Ccm ni kimbilio la wahalifu

In God we Trust

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom