kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,477
- 5,096
Unafikiri wanaitwa misukule kwaajili ya Nini?tabia yao hawaeleweki wanataka nini wanapinga Nini! Hii ndio sifa ya misukule ya ufipa [emoji23][emoji2960]Hakuna jema litafanyika katika uongozi huu ambalo mtapongeza,
Akikamatwa mwana Chadema, kasingiziwa kwa ajili ya siasa uonevu, akikamatwa mwana CCM, anazimwa asigombee mara visasi, au kaonekana ana pesa wanazitaka, asipokamatwa mwana CCM, eti wanalindana wote wezi, sasa mhalifu ni nani kama wote wanaonewa?
Nyie mmekuwa watetezi wa wahalifu?
Ndo maana watu wenye akiri wana wakimbia,
nani ametetea ? mdogo wa rostam katafuna nyara za nchi malipo inalipwa ccm ! hapo bado hujaelewa tu ?Sawa mkuu, ila hujajibu kwa nini mnatetea kila mtu anaekutwa na kosa?
Kabisa hadi kuna chama kinaongozwa na dj zeroHujui kitu bwanamdogo , hii nchi ngumu sana !
kapuku mwingineKabisa hadi kuna chama kinaongozwa na dj zero
HILI KAMA SIYO JINI NYONYA DAMU BASI MBEBA MIKOBA YA SHETANI HUWEZI KUWA NA ROHO CHAFU HIVI HALA COVID-19 IKUACHEHayo unajua wewe maana ulitumwa ukamteke kwa hiyo majibu unayo sio mimi.
Kamtetea wap ewe maamuma?Sawa mkuu, ila hujajibu kwa nini mnatetea kila mtu anaekutwa na kosa?
hawa vijana wakishalipwa elfu 7 ni matatizo matupu !Kamtetea wap ewe maamuma?
Hawa watani zako mtafikishana mbali.hawa vijana wakishalipwa elfu 7 ni matatizo matupu !
Msamaha wa mafisadi PAPA (Sio Paulo)Huyu kijana inawezekana ni jangili kweli , maana inafahamika kwamba aliingia ccm kimkakati kama alivyoingia ASAS ama kama alivyoingia Rostam .
Lakini kinachofahamika ni kwamba kesi yake haitadumu kwa vile lengo la wakamataji ni kumkamua kitita cha hela tu hasa baada ya kuonekana kwenye radar kwamba anamiliki ukwasi mzito .
# Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka .
Kumbuka pia mmefuata dawa ya korona kule Madagaskar na rais wao ni Dj wkt nyie mna PH.dKabisa hadi kuna chama kinaongozwa na dj zero
Kweli kamanda!Kawaida naunga mkono yeyote anayejiusisha na ujangiri afilisiwe!
Sema hizo pesa ndio tunatakiwa kuhoji zinaenda mikononi mwa nani?
Kama ni mikononi mwa Jiwe ni ujangiri mwingine pesa ya uchaguzi inatafutwa na kuhonga wapinzani.
This is unfair!Huyu kijana inawezekana ni jangili kweli , maana inafahamika kwamba aliingia ccm kimkakati kama alivyoingia ASAS ama kama alivyoingia Rostam .
Lakini kinachofahamika ni kwamba kesi yake haitadumu kwa vile lengo la wakamataji ni kumkamua kitita cha hela tu hasa baada ya kuonekana kwenye radar kwamba anamiliki ukwasi mzito .
# Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka .
hakuna sheria iliyotungwa kwa ajili hela za hivyo , angalia Rostam alichofanya baada ya mdogo wake kudakwa , nyara za serikali zikabadilishwa na channel 10 kwa ccm .
As long as tuna sheria ya plea bargain, unakiri kosa, unalipa pesa, kesi inaisha, maisha yanaendelea!.Huyu kijana inawezekana ni jangili kweli , maana inafahamika kwamba aliingia ccm kimkakati kama alivyoingia ASAS ama kama alivyoingia Rostam .
Lakini kinachofahamika ni kwamba kesi yake haitadumu kwa vile lengo la wakamataji ni kumkamua kitita cha hela tu hasa baada ya kuonekana kwenye radar kwamba anamiliki ukwasi mzito .
# Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka .
As long as tuna sheria ya plea bargain, unakiri kosa, unalipa pesa, kesi inaisha, maisha yanaendelea!.
P