Kuna majitu yalipiga pesa ya rada bado yapo serikalini /bungeni yanakula maisha, nchi hii inamajizi mengi tu,Huyu kijana inawezekana ni jangili kweli , maana inafahamika kwamba aliingia ccm kimkakati kama alivyoingia ASAS ama kama alivyoingia Rostam .
Lakini kinachofahamika ni kwamba kesi yake haitadumu kwa vile lengo la wakamataji ni kumkamua kitita cha hela tu hasa baada ya kuonekana kwenye radar kwamba anamiliki ukwasi mzito .
# Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka .
Mh. Spika,
Nchambi arudishe hela za POSHO kwanza ndiyo aendelee na KESI YAKE.
ALIFIKAJE SHINYANGA (MWASELE) WAKATI BUNGE LINAENDELEA?
SPIKA TOA TAMKO.
HILI KAMA SIYO JINI NYONYA DAMU BASI MBEBA MIKOBA YA SHETANI HUWEZI KUWA NA ROHO CHAFU HIVI HALA COVID-19 IKUACHE
Unachomoa kila kitu!.Hata kwa bunduki zisizokuwa na vibali nayo "Plea bargain" inamchomoa?
Sababu huko zonako hifadhiwa Kuna vuja hatariKawaida naunga mkono yeyote anayejiusisha na ujangiri afilisiwe!
Sema hizo pesa ndio tunatakiwa kuhoji zinaenda mikononi mwa nani?
Kama ni mikononi mwa Jiwe ni ujangiri mwingine pesa ya uchaguzi inatafutwa na kuhonga wapinzani.
Hivi Chadema haina wanachama asilia?ASAS aliombwa na CCM awe mfadhili wakati ule mchungaji Msigwa akiwa mpiga kampeni wa Lyatonga Mrema!
Uzuri unafahamu ukweli upo kijani kwasababu ya njaaASAS aliombwa na CCM awe mfadhili wakati ule mchungaji Msigwa akiwa mpiga kampeni wa Lyatonga Mrema!
Tangu aondoke Dk. Slaa kutetea wahalifu na mafisadi ndio imekiwa Sera ya Chadema. Na bahati mbaya wapiga kura wengi huku site wameishawashtukia. Wasubiri tu Oktoba.Hakuna jema litafanyika katika uongozi huu ambalo mtapongeza,
Akikamatwa mwana Chadema, kasingiziwa kwa ajili ya siasa uonevu, akikamatwa mwana CCM, anazimwa asigombee mara visasi, au kaonekana ana pesa wanazitaka, asipokamatwa mwana CCM, eti wanalindana wote wezi, sasa mhalifu ni nani kama wote wanaonewa?
Nyie mmekuwa watetezi wa wahalifu?
Ndo maana watu wenye akiri wana wakimbia,
Tatizo la kijana wa lumumba wazazi wao wametokea maeneo ya kimboka, uwanja wa fisi kwa macheni, usitegemee na brain zao zikawa sawasawaUnafikiri wanaitwa misukule kwaajili ya Nini?tabia yao hawaeleweki wanataka nini wanapinga Nini! Hii ndio sifa ya misukule ya ufipa [emoji23][emoji2960]
Lazima zipelekwe ChatoKawaida naunga mkono yeyote anayejiusisha na ujangiri afilisiwe!
Sema hizo pesa ndio tunatakiwa kuhoji zinaenda mikononi mwa nani?
Kama ni mikononi mwa Jiwe ni ujangiri mwingine pesa ya uchaguzi inatafutwa na kuhonga wapinzani.
Unachomoa kila kitu!.
P
Roho inawauma kwasababu mnaona CCM haibebi mtu kisa tu ni mwana CCM.Umerogwa wewe siyo bure
In God we Trust