Mbunge wa Kishapu(CCM), Suleiman Nchambi aliyekutwa na silaha 16 aburuzwa mahakamani, asomewa mashitaka 12

Mbunge wa Kishapu(CCM), Suleiman Nchambi aliyekutwa na silaha 16 aburuzwa mahakamani, asomewa mashitaka 12

Binafsi hawa maburushi siwaamini kamwe hasa wakiingia kwenye siasa. Lengo lao kuu Ni kudhulumu.vipi lugola yuko wapi?
 
Halafu Jangili sugu kama hili baada ya siku chache tu, utaambiwa limekaa meza moja na DPP na kukubaliana kuilipa serikali milioni kadhaa halafu linarudi tena mtaani kuuendeleza ujangili wake!

Sijui kama kuna mwana ccm wa kizazi hiki cha sasa ambaye siyo mwizi, mchawi, fisadi, mroho wa madaraka na mali, nk. Labda wale wa enzi za Mwalimu.
Na inawezekana hilo ndio linaloo jitaa Laki si pesa umu jamii forum kumbe jangili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi dj wa Madagascar ni smart kuliko huyu mwizi wa ruzuku na posho za bunge
Ana tofauti gani na bwn yule anayelipwa mshahara akiwa amekaa tu kule kijijini kwao?
 
Back
Top Bottom