Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Hakuna mwana CCM atakayevumiliwa kwa kuvunja sheria na hii ndio inaifanya CCM kuwa imara kila uchao!Ccm ni kichaka cha waharifu
In God we Trust
Hakuna mwana CCM atakayevumiliwa kwa kuvunja sheria na hii ndio inaifanya CCM kuwa imara kila uchao!Ccm ni kichaka cha waharifu
In God we Trust
Wewe unafikiri yuko wapi?Lugola yupo wapi muda huu?
In God we Trust
Huyu anawakilisha wabunge wa CCMMbona amekaa kijasusi huyo?
Tusubiri sasa kulima kwa Meno baada ya October kama alivyo muhaidi Kitwanga kwenye ile clipN
Tangu aondoke Dk. Slaa kutetea wahalifu na mafisadi ndio imekiwa Sera ya Chadema. Na bahati mbaya wapiga kura wengi huku site wameishawashtukia. Wasubiri tu Oktoba.
Ni kweli kwa sababu hatujasikia lini Lugola na yeye anapadishwaHapa Chadema Huwezi kuwaona
Watamlaumu Magufuli Kwanini ameacha Mbunge ashtakiwe
Siyo kweli kwamba wanatetea bali wanataka sheria ifuate mkondo wake. Hiyo habari ya kuwaomba watu pesa ni kwa mujibu wa sheria gani? Jiwe naye mwizi tu!Sawa mkuu, ila hujajibu kwa nini mnatetea kila mtu anaekutwa na kosa?
Huna akili... huu wimbo utakuja kusikia hapo baadaye... MBUZI WA KAFALAHapa Chadema Huwezi kuwaona
Watamlaumu Magufuli Kwanini ameacha Mbunge ashtakiwe
Vyombo vyetu vya kipelelezi na uchunguzi bado vinafanya kazi yao.Nikuulize wewe unaye itetea ccm
In God we Trust
Huyo Nchambi anamiliki kitalu chake, sasa anachokifanya anaingia kwenye hifadhi anaua wanyama halafu anarudi na kuwaingiza ( wanyama alokwisha kuwaua ) ndani ya hifadhi yake na kuonekana kama vile kawinda ndani ya kitalu chake lkn mkono wa serikali ni mrefu hatimaye kadakwaHuyu kijana inawezekana ni jangili kweli , maana inafahamika kwamba aliingia ccm kimkakati kama alivyoingia ASAS ama kama alivyoingia Rostam .
Lakini kinachofahamika ni kwamba kesi yake haitadumu kwa vile lengo la wakamataji ni kumkamua kitita cha hela tu hasa baada ya kuonekana kwenye radar kwamba anamiliki ukwasi mzito .
# Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka .
Siyo kweli kwamba wanatetea bali wanataka sheria ifuate mkondo wake. Hiyo habari ya kuwaomba watu pesa ni kwa mujibu wa sheria gani? Jiwe naye mwizi tu!
Hoja yako ni nn hasa?Hapa Chadema Huwezi kuwaona
Watamlaumu Magufuli Kwanini ameacha Mbunge ashtakiwe
Hoja yako ni nn hasa?
Acha kubwabwaja, changia hoja kama intellectual
kama ww unayelipwa buku7 kukesha kusifu na kuabudu mitandaon, bado kidogo utaanza kushikwa "0713"Hoja yangu Chadema kuna wajinga wengi