Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536

Mbona tayari imeshayeyuka Ndugu? Hapo kajambishwa Kidogo tu ili nae aahidi Mchango wake katika Kampeni zijazo za Chama.
Hivi yule mdogo wake Rostam aliyekamatwa na mabunduki kibao yupo wapi eti!!??
 
Sio mara ya kwanza kwa huyu Mbunge kukamatwa kwa jinai na amelkuwa anashinda kesi kwa DPP kutokuwa na haja ya kuendelea nayo!



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sijui kwanini hawa ndugu zetu wenye asili ya damu ya mecca wanapenda sana hizi mambo za uwindaji,mbaya zaidi hawana ustaarabu kwenye uwindaji.


Hapa naona kuna kaharufu kwa udini ,,,vipi huko Roma wanakoabudu lile sanamu wamefika wangapi waliokufa kwa corona? Bavicha chama cha udini na ukabila jibu hili swali👈🏿
 
Sema gari ya mheshimiwa bado mpya sana. DSD, afu Nissan Hadrd Body, bonge la chuma
 
Sheria ichukue mkondo wake, naamini kwa silaha zote hizo alikuwa anawinda wanyama pori kijangili.
 
Hivi huyu ndugu ndo mmiliki wa ile kampuni ya junior construction?
 
Huyo Mbunge ni jambazi nashangaa Serikali inavyomkumbatia. Alishirikiana na Wafanyakazi wasio waaminifu wa Mgodi wa Serikali wa STAMIGOLD kule Biharamulo kuuuibia Mgodi mabilioni ya pesa hadi Mgodi ukacorrups kabisa halafu yeye akakimbilia Buzwagi
 
Sijui kwanini hawa ndugu zetu wenye asili ya damu ya mecca wanapenda sana hizi mambo za uwindaji,mbaya zaidi hawana ustaarabu kwenye uwindaji.
Hao watu asili yao ni uharamia, angalia maeneo yote waliyokaa Waarabu na hadi leo wameacha hiyo rangi kama vile Igunga, Shinyanga, Tabora, Mpanda, Sikonge, Sumbawanga, Morogoro, hayo ni baadhi ya maeneo waliyokuwa wanaendeshea uharamia wao.
 
Akizungumza huku akiwa kashadadia habari za Ndugai na Mbowe alipofika kwa huyu jambazi akaanza kutetea mara oooh anakibali mara oooh huyu ni mwana ccm anayejitoa. Hivi hiki kipindi mbona kama leo kilipwaya
 
akizungumza huku akiwa kashadadia habari za Ndugai na Mbowe alipofika kwa huyu jambazi akaanza kutetea mara oooh anakibali mara oooh huyu ni mwana ccm anayejitoa. Hivi hiki kipindi mbona kama leo kilipwaya

Kusaga ajiongeze 360 pale akili za contempolary journalism ni zero
 
akizungumza huku akiwa kashadadia habari za Ndugai na Mbowe alipofika kwa huyu jambazi akaanza kutetea mara oooh anakibali mara oooh huyu ni mwana ccm anayejitoa. Hivi hiki kipindi mbona kama leo kilipwaya
Ngoma ni mdini sana!

Hata wakati wa Prof Assad vs Ndugai alikuwa akimsimanga sana Spika Ndugai.
 
Ana kibali cha kukaa na silaha za moto zaidi ya 10? Kwani ana kampuni ya ulinzi? Hahaha hata kama ni hobby mtu hawezi kua na silaha nyingi kiasi kile, huyu mzee lazima kuna kitu haramu anafanya wamchunguze kwa umakini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…