Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536

Nyumba za tembe ndiyo matunda? Moshi, Arusha, Mbeya, Mwanza na Iringa hawajawahi kuchagua mhindi, mwarabu wala msomali mbona wana maendeleo kuliko Singida, Igunga, Morogoro, Kishapu n.k?

Umeenda igunga lakini au unaongea tu? Hiyo ni akili ya mtu tu,,ila usihukumu wote ndio hawafai,,,hata sisi tunamapungufu yetu tena zaidi na zaidi na ufisadi juu.
 
Umeenda igunga lakini au unaongea tu? Hiyo ni akili ya mtu tu,,ila usihukumu wote ndio hawafai,,,hata sisi tunamapungufu yetu tena zaidi na zaidi na ufisadi juu.
Igunga ipi mkuu au unazungumzia Igunga ya nje ya Tanzania? hapo napita kila mara ni nyumba za tembe zimejaa balaa, shida ya maji, shule, barabara ukitoa lami(main road) kuna nini tena? au maendeleo yapi yale magofu ya magodown pale njiani aliyoacha Rostam?
 
Sheria hairuhusu kupekua Makazi ya Mtuhumiwa Baada ya Saa Kumi naMbilii jioni.
Wao POLISI wamempekua SitaUsiku,
Uonevu.
 
Uwiiiiiiiiiii !!!!!!!!!!!!!!!
 
Hao watu asili yao ni uharamia, angalia maeneo yote waliyokaa Waarabu na hadi leo wameacha hiyo rangi kama vile Igunga, Shinyanga, Tabora, Mpanda, Sikonge, Sumbawanga, Morogoro, hayo ni baadhi ya maeneo waliyokuwa wanaendeshea uharamia wao.
Asilimia kubwa ya Waarabu na Wahindi wanaoishi Bara wameshiriki sana kufanya uharamia huu ! Then mtu baadaye anakuja kutajirika anatudaganaya eti anafanya kazi kwa bidii ,masa mengi,......Ndio maana amekuwa Bilionea akiwa kijana mdogo ...tunaojua aasili ya utajiri wao tunachekaaaaaa ,...hlafu hapo kwenye hiyo orodha ya maeneo ya uharamia umeisahau Singida!
 
Mkuu wa upelelezi Msangi, Afisa Wanyama Pori Mbwambo, ingekuwa Malya na Mushi wala wasingefika kote huku.
 
Hatua kali zichukuliwe kwa wote wanaokuka taratibu .
 
Yule DeD aliyeua MTU kanisani hadi Leo ajafukuzwa kazi sababu ni muumini wa chama cha ujamaa
 
Ana elimu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…