Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536

Mimi nilidhani Wabunge wanaoonekana hawafai ni wa Upinzani pekee na CCM wote ni Malaika kumbe hata Kwao kuna Vitimbi?

Huyo mbunge alikuwa kasahau kuwa kipindi hiki cha awamu ya tano siyo sawa na vipindi vya awamu ya tatu na nne! Ni sawa na ile awamu ya kwanza, chini ya jemedari Dr Magufuli!!!
 
Cwez kuwa juha ewe juha npo mbaali sana na wajinga na ahmaku like u
unaendeleza ujuha, utajifunza tu kutokuwa juha.

Yule" na "bwana cjaribiw" ni nani hao? Mmoja naona umetumia ni "bwana...", sasa huyo "bwana"ko ndiye anaeitwa "cjaribiw"? Ma shaa Allah, ana jina "unique".

Hongera.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majangili mengi yamejificha kwenye chama cha CCM
 
Mtazame na msikilize RPC wa Mkoa wa Shinyanga akifafanua ujangili wa mbunge huyu wa CCM wazee wa sifa na mapimbio kwa jiwe kumbe wana mambo yao.....
Your browser is not able to display this video.
 
Huwa tunawaambia mazwazwa ya ccm yakiongozwa na kibogoyo wao kuwa ni wahuni na wezi pia majangili lakin wachache huwa hawaelewi now wataelewa hasa lile genge la wahuni linaloongozwa na yule mpuuz wa uvccm supported by jujumani bashite.
 
Kumbe Sasa nyie nanihii eeh Nani nyie uvccm huyu nchambi atakuwa ametumwa na mabeber amchafue nchambi kwa kumwekea siraha na na nyama poli ili kumchonganisha na serkali ya malaika mtukufu jiwe chuma kwelikweli, hao hawakitakii mema chama chetu wanataka bavicha tuwape mwanya wa kutusema.
 
Good intelligence n good work of the spy defective.... Hii kazi ni ya muda mrefu na uweledi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…