Mbunge wa Lebanon: Hezbollah wekeni silaha zenu chini au muondoke Lebanon

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Mbunge wa Lebanon kwa Hezbollah: Toa silaha zako au utuache na uende kuanzisha nchi yako

Biar Abu Aassi, Mbunge wa Lebanon kutoka chama cha Vikosi vya Lebanon:

"Tunasisitiza kwamba Hezbollah lazima ikabidhi silaha zake ndani ya miezi sita. Tunataka kujenga dola. Ikiwa hawataki kukabidhi silaha zao, wachukue kipande cha ardhi na kutuacha peke yetu. Hatutaki kuendelea kushikamana na chama cha kidini ambacho itikadi yake ina uhusiano na Iran.

Wasikae hapa kutunyonya. Mimi sio mgeni wa Hezbollah, kama mwanachama wa Lebanon, kama raia wa Lebanon. Mimi si mgeni wa Hezbollah 'Mpango wa kujadiliana, udhaifu'... haiwezi kuendelea hivi sisi Tunataka kuishi.

Hezbollah wapo and imara vado huwezi kumringanisha na hao kupe wazayuni wanyonyaji wa pesa za Amerika ambayo wanaletewa misaada usiku na mchana na Bado wanahenya kwa Hamas zaidi ya mwaka na nusu.
Wanarekani raia wanafumbua macho Sasa karibu mirija itakatwa na ndio mwisho wa uzayuni
Wewe kaa tu domo kaya.
 
Ndoto za mwendawazimu hizo!!
 
Mbunge wa Lebanon kwa Hezbollah: Toa silaha zako au utuache na uende kuanzisha nchi yako

Biar Abu Aassi, Mbunge wa Lebanon kutoka chama cha Vikosi vya Lebanon:

"Tunasisitiza kwamba Hezbollah lazima ikabidhi silaha zake ndani ya miezi sita. Tunataka kujenga dola. Ikiwa hawataki kukabidhi silaha zao, wachukue kipande cha ardhi na kutuacha peke yetu. Hatutaki kuendelea kushikamana na chama cha kidini ambacho itikadi yake ina uhusiano na Iran.

Wasikae hapa kutunyonya. Mimi sio mgeni wa Hezbollah, kama mwanachama wa Lebanon, kama raia wa Lebanon. Mimi si mgeni wa Hezbollah 'Mpango wa kujadiliana, udhaifu'... haiwezi kuendelea hivi sisi Tunataka kuishi.

Wapo Wabunge wengi pale Lebanon wengine ni mataga wa Saudia Marekani Israel Waislam w Suni !!!!

kwaiyo tegemea jambo km ilo kutokea sio ajaku ata kwenye Bunge la Iran wapo pia Wabunge Wayahudi !!!!

kwaiyo kutokea M'bunge m 1 kwenda kinyume na mipango ya Serikali sio ajabu,, ila una chakuam
 
Hanna such thing called Muslims kwani kila dhehebu linasema wengine sio waislam .. Mtume wao aliwaambia watagawanyika sect 72 an sect moja tu ndio itaingia jennah firdaus engine no Moroni tu.. Wanajidanganya wapo wengi kumbe ni mikafiri
 
We hufahamu siasa za Lebanon, ila hata ukiambiwa yanatoka tu sikio hili ya naingia sikio la kule.

Inashort bila Hezbollah hakuna serikali ya kikristo Lebanon, bila Hezbollah wakristo wanahama Lebanon na watauliwa kama wanavyokufa Iraq na Syria.

Hezbollah ni Allies wa wakristo wa Maronite Lebanon kutokana na idadi yao wabunge plus wabunge Wa Maronite pamoja kuwa nyingi ndio wanaweza kuunda serikali.

Wakiondoka Hezbollah serikali inaparanganyika na mume wenu Israel akianza kuwa chinja wakristo mtaanza kupost humu Alqaeda na Isis.
 
Wapo Wabunge wengi pale Lebanon wengine ni mataga wa Saudia Marekani Israel Waislam w Suni !!!!

kwaiyo tegemea jambo km ilo kutokea sio ajaku ata kwenye Bunge la Iran wapo pia Wabunge Wayahudi !!!!

kwaiyo kutokea M'bunge m 1 kwenda kinyume na mipango ya Serikali sio ajabu,, ila una chakuam
Endeleeni kujifariji tu Hezbollah wamewasababishia majanga wananchi wa Lebanon!!
 
Back
Top Bottom