Ndoto za mwendawazimu hizo!!Hezbollah wapo and imara vado huwezi kumringanisha na hao kupe wazayuni wanyonyaji wa pesa za Amerika ambayo wanaletewa misaada usiku na mchana na Bado wanahenya kwa Hamas zaidi ya mwaka na nusu.
Wanarekani raia wanafumbua macho Sasa karibu mirija itakatwa na ndio mwisho wa uzayuni
Wewe kaa tu domo kaya.
Wapo Wabunge wengi pale Lebanon wengine ni mataga wa Saudia Marekani Israel Waislam w Suni !!!!Mbunge wa Lebanon kwa Hezbollah: Toa silaha zako au utuache na uende kuanzisha nchi yako
Biar Abu Aassi, Mbunge wa Lebanon kutoka chama cha Vikosi vya Lebanon:
"Tunasisitiza kwamba Hezbollah lazima ikabidhi silaha zake ndani ya miezi sita. Tunataka kujenga dola. Ikiwa hawataki kukabidhi silaha zao, wachukue kipande cha ardhi na kutuacha peke yetu. Hatutaki kuendelea kushikamana na chama cha kidini ambacho itikadi yake ina uhusiano na Iran.
Wasikae hapa kutunyonya. Mimi sio mgeni wa Hezbollah, kama mwanachama wa Lebanon, kama raia wa Lebanon. Mimi si mgeni wa Hezbollah 'Mpango wa kujadiliana, udhaifu'... haiwezi kuendelea hivi sisi Tunataka kuishi.
Endeleeni kujifariji tu Hezbollah wamewasababishia majanga wananchi wa Lebanon!!Wapo Wabunge wengi pale Lebanon wengine ni mataga wa Saudia Marekani Israel Waislam w Suni !!!!
kwaiyo tegemea jambo km ilo kutokea sio ajaku ata kwenye Bunge la Iran wapo pia Wabunge Wayahudi !!!!
kwaiyo kutokea M'bunge m 1 kwenda kinyume na mipango ya Serikali sio ajabu,, ila una chakuam