The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mbunge wa Jimbo la Lupembe (CCM), Edwin Swalle, amesema ni makosa kuzuia uchaguzi au kuhamasisha watu wasishiriki kwa kuwa kushiriki uchaguzi ni haki ya kikatiba kwa kila Mtanzania.
Swalle ametoa kauli hiyo leo Aprili 30, 2025 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mjadala wa Makadirio ya mapato na matumizi Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2025/ 2026
“Nataka niiombe Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia wizara hii ya Katiba na Sheria, tunaomba mlinde haki ya sisi Watanzania ambao tupo tayari kupiga kura Oktoba mwaka huu,” amesema Mbunge huyo