PreGE2025 Mbunge wa Lupembe asema CHADEMA wanavuka mipaka kwenda kuvuruga haki za wengine kupiga kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mbunge wa Jimbo la Lupembe (CCM), Edwin Swalle, amesema ni makosa kuzuia uchaguzi au kuhamasisha watu wasishiriki kwa kuwa kushiriki uchaguzi ni haki ya kikatiba kwa kila Mtanzania.

Swalle ametoa kauli hiyo leo Aprili 30, 2025 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mjadala wa Makadirio ya mapato na matumizi Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2025/ 2026

“Nataka niiombe Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia wizara hii ya Katiba na Sheria, tunaomba mlinde haki ya sisi Watanzania ambao tupo tayari kupiga kura Oktoba mwaka huu,” amesema Mbunge huyo


Your browser is not able to display this video.
 
Usidanganye watu sote tunajua kuwa kura za Wananchi haziheshimiwi.
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu shetani siku Lisu akitoka ataanza kusifia ohoo mama ana huruma sijui takataka gani? pumbavu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…