Mbunge wa Mbeya Mjini, II Proud (Sugu) akiri wazi kuwa, hawezi kuandika "Zinjanthropus" na jina la "George"

Mgambilwa ni mntu

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
2,869
Reaction score
3,187
Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi @II Proud Mr II Sugu, akihojiwa na Gazeti la Mwananchi jana ofisini kwao, alikiri wazi kuwa, yeye hana uwezo wa kuandika neno "Zinjanthropus" na hata jina la "George" lakini akadai hiyo haina maana kuwa hajui kuandika.
Mbilinyi ndiye Waziri Kivuli wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taarifa nyingi za Serikali, pamoja na Mikataba na Sheria mbalimbali huandikwa kwa kiingereza. Viva mzee.

 
Huyu mbunge anaongoza kwa kupata kura nyingi kuliko wabunge wote wa tz, amewazidi mapfo. Kama Mpango na kabudi wabunge wa viti maalum.
 

Hii nchi imejaa wajinga ile mbaya, mkuu wa nchi anaogopa lugha ya kigeni anatumia kiswahili kwa kisingizio cha uzalendo. Huku wateule wake wanawakoga wapinzani wa chama cha rais kwa lugha ambayo boss wao inamkondesha!!
 
Haw
Huyu mbunge anaongoza kwa kupata kura nyingi kuliko wabunge wote wa tz, amewazidi mapfo. Kama Mpango na kabudi wabunge wa viti maalum.
Hawezi kuandika hivyo vineno viwili Ila hata akifa Leo tungo zake zitahifadhiwa na kukumbukwa vizazi hata vizazi kwa ubora wake
 
Haya nyie wajanja mbona pia hamjui? ni Gorge sio George. Inawezekana pia hata maana ya gorge hamjui kwani wengi wenu mnatamka joji!
 
Mbeya amkeni mchagua msomi Dr Tulia .

Achaneni na vilaza
 
Ni Tanzania tu ambapo unaweza kupata Mbunge wa calibre ya Sugu,shame on us.Kwa Wabunge wa aina ya akina Sugu,I cannot imagine Tanzania being a middle income country.
 
Ukisikia kuna Mungu asie na choyo ndio hivi..Sugu eti nae mbunge!
 
Watu wanashangaa Sugu kuwa mbunge lakini hawashangai Masanja mkandamizaji kuwa mchungaji. In Bongo everything is possible.
 
Swali la kujiuliza ni kuwa hilo neno la kigiriki lina uhusano gani na uchaguzi wa udiwani??

Hizo figisu fgisu za CCM sasa zimefikia hatua mbaya sana!
Hujui historia ya Tanzania wewe sio mtanzania . Zinjanthropus ana uhusiano sana Na Tanzania Sasa kama humjui wewe sio mtanzania.Ni sawa Na kuulizwa unamjua Mkwawa walikuwa Nani ukisema sijui wewe sio mtanzania.Sugu afuatiliwe uraia wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…