Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,187
Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi @II Proud Mr II Sugu, akihojiwa na Gazeti la Mwananchi jana ofisini kwao, alikiri wazi kuwa, yeye hana uwezo wa kuandika neno "Zinjanthropus" na hata jina la "George" lakini akadai hiyo haina maana kuwa hajui kuandika.
Mbilinyi ndiye Waziri Kivuli wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taarifa nyingi za Serikali, pamoja na Mikataba na Sheria mbalimbali huandikwa kwa kiingereza. Viva mzee.