radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Kwamba chenge na tibaijuka hawana elimu?Mbeya amkeni mchagua msomi Dr Tulia .
Achaneni na vilaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba chenge na tibaijuka hawana elimu?Mbeya amkeni mchagua msomi Dr Tulia .
Achaneni na vilaza
Vya kushangaza ni vingi ukuta wa kwenye tanzanite mwanzo mapato ya mrabaha tulipata million 444 baada ya ukuta wa gharama wa bilion 10 tunapata 40 hizo 400 kwa heri haya maajabu makubwa sanaWatu wanashangaa Sugu kuwa mbunge lakini hawashangai Masanja mkandamizaji kuwa mchungaji. In Bongo everything is possible.
Hakuongoza kwa asilimia nyingi bali kwa asilimia nyingi. Hiyo inatokana na ukubwa wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa watu. Unamjua tu aliyeshinda, Je unafahamu Wenje alipata kura 78,000 but still alipoteza ubunge wa Nyamagana kwa Stanslaus Mabula?Huyu mbunge anaongoza kwa kupata kura nyingi kuliko wabunge wote wa tz, amewazidi mapfo. Kama Mpango na kabudi wabunge wa viti maalum.
Kura nyingi siyo issue, Wabunge wa kusifiwa ni hawa:Huyu mbunge anaongoza kwa kupata kura nyingi kuliko wabunge wote wa tz, amewazidi mapfo. Kama Mpango na kabudi wabunge wa viti maalum.
Acha upuuzi mbona Dr wa mafuta ya korosho hamna kitu,Mbaya zaidi pamoja na kwamba korosho zetu zimemfikisha hapo bado anataka kupiga shangazi zetu.Mbeya amkeni mchagua msomi Dr Tulia .
Achaneni na vilaza
Tunakubali II Proud ni baba wa Hip Hop Tanzania but that does not translate to politics at all. Huko jamaa ana-struggle sana kudeliver ndio maana amekalia kufanya vibweka vya kibabe ili uwepo wake uonekane but when the issues of the day are there on the table, anabaki amebung'aa tu na kuishi a kuwaona akina Zitto waki-run the show.Sugu ni phenomenon ametoka mtaani mpaka mjengoni. Watu wale watataka waweke ngongoti tena kwa fujo 2020
na wewe umedanganywa kwamba yule mama no komando? mama hajui hata kutumia silaha!Alienda kumuangalia huyo mama komandoo kutoka Croatia.
kwa hiyo mara zote Sugu aliposhinda, Mwandosya aligombea urais????Tunakubali II Proud ni baba wa Hip Hop Tanzania but that does not translate to politics at all. Huko jamaa ana-struggle sana kudeliver ndio maana amekalia kufanya vibweka vya kibabe ili uwepo wake uonekane but when the issues of the day are there on the table, anabaki amebung'aa tu na kuishi a kuwaona akina Zitto waki-run the show.
Na mwenye akili anajua pia kuwa, watu wa Mbeya waliukubali Upinzani na kuikataa CCM baada ya tegemeo lao kwenye Urais Mark Mwandisya kupigwa mweleka raundi za awali tu kuliko hata mwaka 2005. Hii iliwaudhi sana Wanyaki, Wasafwa, Wandali na Wanyiha waishio hapo town.
Mkuu radika naona unahamisha magoli taratiiiiibu, hahahahaVya kushangaza ni vingi ukuta wa kwenye tanzanite mwanzo mapato ya mrabaha tulipata million 444 baada ya ukuta wa gharama wa bilion 10 tunapata 40 hizo 400 kwa heri haya maajabu makubwa sana
Nenda katafute habari za ukweli kuliko kusikiliza umbeya halafu ukaamini ndio ukweli wenyewe.na wewe umedanganywa kwamba yule mama no komando? mama hajui hata kutumia silaha!
nani akatafute. mi najua huyo mama hajawahi kuwa mwanajeshi popote duniani. wajinga wachache wamedanganywaNenda katafute habari za ukweli kuliko kusikiliza umbeya halafu ukaamini ndio ukweli wenyewe.
Mjinga ni wewe, ambao hata ukiwekewa picha unasema sio picha halisi. Kama una simu ambayo imejiunga na whatsapp ni lazima utakutana na picha zake akiwa amevaa kombati za kijeshi. Achana na ligi za kitoto.nani akatafute. mi najua huyo mama hajawahi kuwa mwanajeshi popote duniani. wajinga wachache wamedanganywa
kombati hizo hata John Pombe Magufuli anavaa. Sasa kwa ujinga wako unaweza sema Magufuli ni Komando. acha upimbi ingia mtandaoni google historia ya huyo mama uone kama amewahi kuwa mwanajeshi. kama hujaona popote kama amewahi kuwa mwanajeshi, jisaidie kwenye shukaMjinga ni wewe, ambao hata ukiwekewa picha unasema sio picha halisi. Kama una simu ambayo imejiunga na whatsapp ni lazima utakutana na picha zake akiwa amevaa kombati za kijeshi. Achana na ligi za kitoto.
yaani source ya habari yako ni WhatsApp! hihihihihiiiiiiiiiii. Bongo kuna wajinga kwa kweli.Badilika mjomba.muda bado unaoMjinga ni wewe, ambao hata ukiwekewa picha unasema sio picha halisi. Kama una simu ambayo imejiunga na whatsapp ni lazima utakutana na picha zake akiwa amevaa kombati za kijeshi. Achana na ligi za kitoto.
Dogo hasira zako za nyumbani kwako unazihamishia humu jukwaani. Hakuna wa kukusaidia.kombati hizo hata John Pombe Magufuli anavaa. Sasa kwa ujinga wako unaweza sema Magufuli ni Komando. acha upimbi ingia mtandaoni google historia ya huyo mama uone kama amewahi kuwa mwanajeshi. kama hujaona popote kama amewahi kuwa mwanajeshi, jisaidie kwenye shuka
Dogo usipende kutanguliza dharau kwenye vitu usivyovifahamu. Haya nakwambia kwa faida yako.yaani source ya habari yako ni WhatsApp! hihihihihiiiiiiiiiii. Bongo kuna wajinga kwa kweli.Badilika mjomba.muda bado unao