Mbunge wa Mbeya Mjini, II Proud (Sugu) akiri wazi kuwa, hawezi kuandika "Zinjanthropus" na jina la "George"

Watu wanashangaa Sugu kuwa mbunge lakini hawashangai Masanja mkandamizaji kuwa mchungaji. In Bongo everything is possible.
Vya kushangaza ni vingi ukuta wa kwenye tanzanite mwanzo mapato ya mrabaha tulipata million 444 baada ya ukuta wa gharama wa bilion 10 tunapata 40 hizo 400 kwa heri haya maajabu makubwa sana
 
Sugu ni phenomenon ametoka mtaani mpaka mjengoni. Watu wale watataka waweke ngongoti tena kwa fujo 2020
 
Huyu mbunge anaongoza kwa kupata kura nyingi kuliko wabunge wote wa tz, amewazidi mapfo. Kama Mpango na kabudi wabunge wa viti maalum.
Hakuongoza kwa asilimia nyingi bali kwa asilimia nyingi. Hiyo inatokana na ukubwa wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa watu. Unamjua tu aliyeshinda, Je unafahamu Wenje alipata kura 78,000 but still alipoteza ubunge wa Nyamagana kwa Stanslaus Mabula?
Msisumbuke sijui kupata kura 108,000, angalia alipata asilimia ngapi ndo kitu cha muhimu. Sugu hajafikisha hata asilimia 70% utamsifia kwa lipi?
IMG_5187.jpg
 
Nilisoma kitabu cha Think and grow rich.
Dah kumbe huu ujinga hata tz upo!

Eti unamuuliza mwanasheria swali la kifizikia au unamuuliza mwanafizikia vifungu vya sheria.
 
Mbeya amkeni mchagua msomi Dr Tulia .

Achaneni na vilaza
Acha upuuzi mbona Dr wa mafuta ya korosho hamna kitu,Mbaya zaidi pamoja na kwamba korosho zetu zimemfikisha hapo bado anataka kupiga shangazi zetu.
 
Sugu ni phenomenon ametoka mtaani mpaka mjengoni. Watu wale watataka waweke ngongoti tena kwa fujo 2020
Tunakubali II Proud ni baba wa Hip Hop Tanzania but that does not translate to politics at all. Huko jamaa ana-struggle sana kudeliver ndio maana amekalia kufanya vibweka vya kibabe ili uwepo wake uonekane but when the issues of the day are there on the table, anabaki amebung'aa tu na kuishi a kuwaona akina Zitto waki-run the show.
Na mwenye akili anajua pia kuwa, watu wa Mbeya waliukubali Upinzani na kuikataa CCM baada ya tegemeo lao kwenye Urais Mark Mwandisya kupigwa mweleka raundi za awali tu kuliko hata mwaka 2005. Hii iliwaudhi sana Wanyaki, Wasafwa, Wandali na Wanyiha waishio hapo town.
 
kwa hiyo mara zote Sugu aliposhinda, Mwandosya aligombea urais????
 
Vya kushangaza ni vingi ukuta wa kwenye tanzanite mwanzo mapato ya mrabaha tulipata million 444 baada ya ukuta wa gharama wa bilion 10 tunapata 40 hizo 400 kwa heri haya maajabu makubwa sana
Mkuu radika naona unahamisha magoli taratiiiiibu, hahahaha
 
nani akatafute. mi najua huyo mama hajawahi kuwa mwanajeshi popote duniani. wajinga wachache wamedanganywa
Mjinga ni wewe, ambao hata ukiwekewa picha unasema sio picha halisi. Kama una simu ambayo imejiunga na whatsapp ni lazima utakutana na picha zake akiwa amevaa kombati za kijeshi. Achana na ligi za kitoto.
 
Album yake ya moto chini ni moja kati ya album bora sana za muziki huu wa kizazi kipya almaarufu kama muziki wa kufokafoka.

"Toka bongo mpaka Uk na kisha narudi tena,
Nairobi na Kampala nawakilisha kwa sana,
Maneno bado ni yes naona kama hakuna no,
Sasa mechi ni Internation......"
 
Attachments

Mjinga ni wewe, ambao hata ukiwekewa picha unasema sio picha halisi. Kama una simu ambayo imejiunga na whatsapp ni lazima utakutana na picha zake akiwa amevaa kombati za kijeshi. Achana na ligi za kitoto.
kombati hizo hata John Pombe Magufuli anavaa. Sasa kwa ujinga wako unaweza sema Magufuli ni Komando. acha upimbi ingia mtandaoni google historia ya huyo mama uone kama amewahi kuwa mwanajeshi. kama hujaona popote kama amewahi kuwa mwanajeshi, jisaidie kwenye shuka
 
yaani source ya habari yako ni WhatsApp! hihihihihiiiiiiiiiii. Bongo kuna wajinga kwa kweli.Badilika mjomba.muda bado unao
 
kombati hizo hata John Pombe Magufuli anavaa. Sasa kwa ujinga wako unaweza sema Magufuli ni Komando. acha upimbi ingia mtandaoni google historia ya huyo mama uone kama amewahi kuwa mwanajeshi. kama hujaona popote kama amewahi kuwa mwanajeshi, jisaidie kwenye shuka
Dogo hasira zako za nyumbani kwako unazihamishia humu jukwaani. Hakuna wa kukusaidia.
 
Back
Top Bottom