Mbunge wa Mbeya Mjini, II Proud (Sugu) akiri wazi kuwa, hawezi kuandika "Zinjanthropus" na jina la "George"

Hii nchi imejaa wajinga ile mbaya, mkuu wa nchi anaogopa lugha ya kigeni anatumia kiswahili kwa kisingizio cha uzalendo. Huku wateule wake wanawakoga wapinzani wa chama cha rais kwa lugha ambayo boss wao inamkondesha!!
hahaaaa
 
Hujui historia ya Tanzania wewe sio mtanzania . Zinjanthropus ana uhusiano sana Na Tanzania Sasa kama humjui wewe sio mtanzania.Ni sawa Na kuulizwa unamjua Mkwawa walikuwa Nani ukisema sijui wewe sio mtanzania.Sugu afuatiliwe uraia wake
Hivi baba yako anamjua zinjanthropus we jamaa huenda huwa unafikiria kwa kutumia matako.
 
Hivi baba yako anamjua zinjanthropus we jamaa huenda huwa unafikiria kwa kutumia matako.
Historia hiyo inafundisha shule ya msingi huhitaji kujua zinjanthropus ni Nani kuwa labda ufike secondary ulienda kunya chooni wakati mwalimu wa historia shule ya msingi akifundisha Habari za zinjanthropus?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…