Lussadam
JF-Expert Member
- Oct 13, 2007
- 1,341
- 907
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mjomba mi nakupa habari tu.mama hajawahi kuwa mwanajeshi.tunaelimishana.Dogo hasira zako za nyumbani kwako unazihamishia humu jukwaani. Hakuna wa kukusaidia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mjomba mi nakupa habari tu.mama hajawahi kuwa mwanajeshi.tunaelimishana.Dogo hasira zako za nyumbani kwako unazihamishia humu jukwaani. Hakuna wa kukusaidia.
hahaaaaHii nchi imejaa wajinga ile mbaya, mkuu wa nchi anaogopa lugha ya kigeni anatumia kiswahili kwa kisingizio cha uzalendo. Huku wateule wake wanawakoga wapinzani wa chama cha rais kwa lugha ambayo boss wao inamkondesha!!
Hivi baba yako anamjua zinjanthropus we jamaa huenda huwa unafikiria kwa kutumia matako.Hujui historia ya Tanzania wewe sio mtanzania . Zinjanthropus ana uhusiano sana Na Tanzania Sasa kama humjui wewe sio mtanzania.Ni sawa Na kuulizwa unamjua Mkwawa walikuwa Nani ukisema sijui wewe sio mtanzania.Sugu afuatiliwe uraia wake
Historia hiyo inafundisha shule ya msingi huhitaji kujua zinjanthropus ni Nani kuwa labda ufike secondary ulienda kunya chooni wakati mwalimu wa historia shule ya msingi akifundisha Habari za zinjanthropus?Hivi baba yako anamjua zinjanthropus we jamaa huenda huwa unafikiria kwa kutumia matako.