Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #21
Swali zuri sana !
Swali zuri sana !
Hii ni Katiba ya mwaka 1977 toleo la mwaka 2000 ambalo inabidi lisomwe pamoja na Sheria ya vyama vingi ya mwaka 1992 pamoja na marekebisho yaliyofuata.Naomba wanasheria mnisaidie hivi walio andika katiba yetu walitoa sababu zipi za matokeo ya urais kutopingwa mahakamani?
Hili swali linaniumiza kichwa maana naona wazi kipengele hiki kinaenda kuiletea nchi matatizo hapo baadae.
Pole MpwaWe jamaa umenichekesha sana...eti ."wanaiba mpaka kupitiliza"kwah kwah kwah
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati kikao cha siri kikiisha si wabunge wanatawanyika na apo ndo wazalendo wanapata habari za kikao cha siriKama ni kikao cha siri we hii habari uliipataje? Mbona unapenda kupotosha potosha! Mmekosa sehemu ya kupapasa kabisa?
Hivi mbona sijawahi kusikia Mh.Sugu akihoji Mbowe kukaa sana madarakani kama Mwenyekiti wa Chadema? Na je, ingetokea Mbowe akawa Rais angeweza kuhoji au anahoji kwasababu Chadema haijashika madaraka? Sugu anatuzuga tu.Kauli hiyo ya kishujaa ameitoa ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akichangia kwenye bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu
Pamoja na hilo pia amependekeza umuhimu wa kuwa na Tume huru ya uchaguzi , ambapo amedai kwamba pamoja na yeye kushinda kwa kishindo kwenye nafasi ya ubunge kwa uchaguzi wa 2010 na 2015 lakini kabla ya matokeo kutangazwa kwa mbinde kulitokea mauaji ya mtu mmoja na ulemavu kwa watu watatu ambao anawahudumia hadi leo
Note : Tunashindwa kuweka video hapa kwa vile bunge la Tanzania limedhibitiwa na linaendeshwa kama vikao vya siri
----
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu ‘Sugu’ ametaka sheria za uchaguzi zibadilishwe ili matokeo ya urais kupingwa mahakamani kama ilivyo kwa ubunge.
Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Aprili 2, 2020 katika mjadala wa bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu mwaka 2020/21.
Sugu ambaye pia ni mwanamuziki amesema mbali na matokeo kupingwa, uwepo wa tume huru ya uchaguzi utafanya uchaguzi uwe huru na haki.
“Mbeya hamjawahi kunipa ushindi kwenye silver plate, mwaka 2010 alikufa mtu mmoja kwa ajili ya kulinda kura, uchaguzi wa mwaka 2015 walemavu watatu hadi leo bado nawahudumia.”
“Kwa hiyo tunataka tume huru yenye uwezo wa kuchagua wasimamizi wake na watumishi wake yenyewe ila isiteuliwe,” amesema Sugu.
Mwananchi
Wanahangaika na katiba mpya ya taifa wakati wameacha katiba ya Chadema inayomuacha Mkiti akae madarakani bila kikomo sijui hawajaisoma bado?Hongera Sugu. Wote tudani na kudai na kudai bila kuchoka:. Katiba Mpya, Tume huru ya uchaguzi na kuhoji matokeo ya Uraisi mahakamani.....
Wakati wa uchaguzi kura zote zikiwemo za raisi zihesabiwe na kubandikwa vituoni
Nafikiri ukimuuliza mzee Warioba ndio analo jibu sahihi,nini kilifanyika.Isingekuwa uzembe na udhaifu wa Jakaya Kikwete mwaka 2015 wakati wa mchakato wa Rasimu ya Katiba Mpya, haya maswali ya akina Sugu yasingekuwapo.
Ni nini kilimpata JK mpaka akashindwa kumalizia Katiba ya Wananchi?
😆😆😆😆Nipo kwenye basi la Sauli naelekea Mbeya, nani mwenyeji huko tuonane? Nitalala pale Appieline Hotel. Floor ya kwanza room no.112. Karibuni tuonane
Kama ni kikao cha siri we hii habari uliipataje? Mbona unapenda kupotosha potosha! Mmekosa sehemu ya kupapasa kabisa?
Hotuba zake za mwisho mwisho Bungeni.Kauli hiyo ya kishujaa ameitoa ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akichangia kwenye bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu
Pamoja na hilo pia amependekeza umuhimu wa kuwa na Tume huru ya uchaguzi , ambapo amedai kwamba pamoja na yeye kushinda kwa kishindo kwenye nafasi ya ubunge kwa uchaguzi wa 2010 na 2015 lakini kabla ya matokeo kutangazwa kwa mbinde kulitokea mauaji ya mtu mmoja na ulemavu kwa watu watatu ambao anawahudumia hadi leo
Note : Tunashindwa kuweka video hapa kwa vile bunge la Tanzania limedhibitiwa na linaendeshwa kama vikao vya siri
----
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu ‘Sugu’ ametaka sheria za uchaguzi zibadilishwe ili matokeo ya urais kupingwa mahakamani kama ilivyo kwa ubunge.
Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Aprili 2, 2020 katika mjadala wa bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu mwaka 2020/21.
Sugu ambaye pia ni mwanamuziki amesema mbali na matokeo kupingwa, uwepo wa tume huru ya uchaguzi utafanya uchaguzi uwe huru na haki.
“Mbeya hamjawahi kunipa ushindi kwenye silver plate, mwaka 2010 alikufa mtu mmoja kwa ajili ya kulinda kura, uchaguzi wa mwaka 2015 walemavu watatu hadi leo bado nawahudumia.”
“Kwa hiyo tunataka tume huru yenye uwezo wa kuchagua wasimamizi wake na watumishi wake yenyewe ila isiteuliwe,” amesema Sugu.
Mwananchi
Shitambala alisema kama wewe leo yuko wapi ?Hotuba zake za mwisho mwisho Bungeni.
Nayeye Mze wa watu atakwambaia hajui kilichotokea labda tu tuwe wavumilivu kama tulivyo sisi wa Tz kila jambo kwetu ni mchakato, mchakato mpaka mchakato ndo action p'se. After all watengenezaji walikuwa wajanja hawakujipa timeframe.Nafikiri ukimuuliza mzee Warioba ndio analo jibu sahihi,nini kilifanyika.
Hapo na mimi ndo nashangaa. 2015 wabunge wengi UKAWA walipita na tume hiyo hiyo ikawapitisha sasa leo wanaigeuka kweli wanadamu hatuna shukrani.Kwani Sugu alipata ushindi kwenye tume gani? Hahahahaha
Sent from my iPhone using Tapatalk
Time will tell.Shitambala alisema kama wewe leo yuko wapi ?
Ndio ushaambiwa hadi roho ya kiumbe mwenzio ilitoka, undondocha mwingine unakera..au unajifanya kama vile alitangazwa kirahisi kama mlivyofuta matokeo ya Zanzibar??Kwani Sugu alipata ushindi kwenye tume gani? Hahahahaha
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ndio ushaambiwa hadi roho ya kiumbe mwenzio ilitoka, undondocha mwingine unakera..au unajifanya kama vile alitangazwa kirahisi kama mlivyofuta matokeo ya Zanzibar??Kwani Sugu alipata ushindi kwenye tume gani? Hahahahaha
Sent from my iPhone using Tapatalk
si kwamba hawajui , wameamua kujitoa akili tu .Ndio ushaambiwa hadi roho ya kiumbe mwenzio ilitoka, undondocha mwingine unakera..au unajifanya kama vile alitangazwa kirahisi kama mlivyofuta matokeo ya Zanzibar??