Mbunge wa Mikumi, Ndg.Joseph Haule aka Prof.J afunga ndoa takatifu

Duh! Umeandika maandishi mengi sana mkuu na mimi ni mvivu wa ku-Type.

Mimi nadhani nimemaliza. Sina sababu ya kuanza kujieleza kwa maandishi mengi.
 
Duh! Umeandika maandishi mengi sana mkuu na mimi ni mvivu wa ku-Type.

Mimi nadhani nimemaliza. Sina sababu ya kuanza kujieleza kwa maandishi mengi.

Bado hujaona kitabu nilichoandika.

Jamii masikini zinaendana na uvivu wa ku type.

Kwa sababu zimewahi kuoa/kuolewa na kwa sababu hiyo hazijaenda shule.
 
Bado hujaona kitabu nilichoandika.

Jamii masikini zinaendana na uvivu wa ku type.

Kwa sababu zimewahi kuoa/kuolewa na kwa sababu hiyo hazijaenda shule.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi huyu jamaa alikuwa bado yupo yupo...
 
HONGERA MKUU

Pongezi tele kwa mbunge wa Mikumi, Joseph Haule "Profesa Jay" kwa kuipa mkonon wa kwaheri klabu ya ukapera.

hongera kaka hatua kubwa kwetu ila hatua ndogo kwako.kwani ni hatua ya pili ya maisha yako.
 
Katika jamii masikini mtu akiamua kutooa/olewa ana matatizo.

Kumbe kuna wengine maisha yao wameamua kutafuta dawa ya kansa tu.

Tatizo ni cancer hapo ndo maana wameamua kutooa/kutoolewa.
 
Kaoa akiwa mkubwa sana. Mimi kipindi nikiwa kidato cha kwanza yeye alikuwa kijana mkubwa kabisa. Nimekua nimeoa yeye ndo amekuja kuoa.

Hongera zake.
Bora uchelewe kuoa kuliko kuwahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…