Kura alimpa mama yako labda mtu alikuta watanzania wana maisha Bora yeye akahakikisha wanakuwa maskini.Abomoe nani kwamba hatambui mchango wa wa Rais wetu hivi kuna watu bado mmefungwa mpaka akili hata kuona hamuoni?
Huamini alichokifanya Rais wetu kweli? Na kura ulimpa?
Tumjengee sanamu sababu ya madaraja?Wewe inchi yako ilikuwa na mafly over hapo kabla
Hata JK amefanya makubwa kulikoAmini nawaambia, Hayati Benjamin Wiliam Mkapa alifanya mambo makubwa kwenye hii nchi kuliko huyo mnaemnadi sana!
Au wakati mkapa anatengeneza hii nchi mlikuwa watoto wadogo sana?
Lijengwe sana la Mkapa kwanza hala mengine yatafuata.
Hahahahaaaa kama la SadamHilo sanamu labda mlilinde vinginevyo litabomolewa.
Kima hawawizi kuelewa haoWatumishi aliwakuta na utaratibu mzuri wa kupandishwa mishahara kwa mujibu wa sheria yeye kafuta akaona haitoshi akawaongezea makato ya bodi ya mikopo mpaka wakawa hawakopesheki wakakimbilia kuweka kadi zao za bank kwa kina mura chacha naona leo bungeni wanajadili kuondoa huo uonevu mkubwa sana wa HELSB.
Nimecheka na hii comment walai,Kila mtu aliyemtukuza na kumsujudia, akalijenge hilo sanamu lake nyumbani kwake! Mtaendelea kumwamudu, kumtukuza na kumuimbia mapambio huko!
Amini nawaambia, Hayati Benjamin Wiliam Mkapa alifanya mambo makubwa kwenye hii nchi kuliko huyo mnaemnadi sana!
Au wakati mkapa anatengeneza hii nchi mlikuwa watoto wadogo sana?
Lijengwe sana la Mkapa kwanza hala mengine yatafuata.
Acha ujinga kwaiyo kwa sababu kafa flyover ndo haitajegwa? Kwani alikua anatoa msaada? We unajua maana dira ya nchi kwa miaka 20 ijayo?Wewe inchi yako ilikuwa na mafly over hapo kabla
Na ndiyo maana watumishi wengi wa umma hatukuguswa na kifo chake. Alituonea sana huyo mzee. Halafu alikuwa anajisifu kabisa hadharani! Sitawapandisha madaraja kwa sababu hela zinaenda kununulia ndege!Watumishi aliwakuta na utaratibu mzuri wa kupandishwa mishahara kwa mujibu wa sheria yeye kafuta akaona haitoshi akawaongezea makato ya bodi ya mikopo mpaka wakawa hawakopesheki wakakimbilia kuweka kadi zao za bank kwa kina mura chacha naona leo bungeni wanajadili kuondoa huo uonevu mkubwa sana wa HELSB.
Hili ndilo neno kila mtu anayehitaji alijenge sanamu na aliweke nyumbani kwake.Kila mtu aliyemtukuza na kumsujudia, akalijenge hilo sanamu lake nyumbani kwake! Mtaendelea kumwamudu, kumtukuza na kumuimbia mapambio huko!
Ndiyo upumbafu tulionao ngozi nyeusiKuna kitu sijakielewa kuhusu sie Watanzania, kwanini tunaona Kiongozi kufanya maendeleo ni hisani na sio wajibu wake? Alichaguliwa ili afanye nini kama sio maendeleo? na maendeleo ayafanyayo kwanini yakuzwe sana kama vile kiongozi hutumia pesa za mfukoni mwake kuyafanya wakati ni kodi zetu, [emoji848]
Alifanya yote hayo ili akuze uchumi na tumefika uchumi wa kati huoni raha maana tungechelewa sana kuufikiaWatumishi aliwakuta na utaratibu mzuri wa kupandishwa mishahara kwa mujibu wa sheria yeye kafuta akaona haitoshi akawaongezea makato ya bodi ya mikopo mpaka wakawa hawakopesheki wakakimbilia kuweka kadi zao za bank kwa kina mura chacha naona leo bungeni wanajadili kuondoa huo uonevu mkubwa sana wa HELSB.