Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi: Tujenge 'Monument' ya kumuenzi Hayati Dkt. Magufuli jijini Dodoma

Abomoe nani kwamba hatambui mchango wa wa Rais wetu hivi kuna watu bado mmefungwa mpaka akili hata kuona hamuoni?
Huamini alichokifanya Rais wetu kweli? Na kura ulimpa?
Kura alimpa mama yako labda mtu alikuta watanzania wana maisha Bora yeye akahakikisha wanakuwa maskini.
 
Amini nawaambia, Hayati Benjamin Wiliam Mkapa alifanya mambo makubwa kwenye hii nchi kuliko huyo mnaemnadi sana!

Au wakati mkapa anatengeneza hii nchi mlikuwa watoto wadogo sana?

Lijengwe sana la Mkapa kwanza hala mengine yatafuata.
Hata JK amefanya makubwa kuliko
 
Watumishi aliwakuta na utaratibu mzuri wa kupandishwa mishahara kwa mujibu wa sheria yeye kafuta akaona haitoshi akawaongezea makato ya bodi ya mikopo mpaka wakawa hawakopesheki wakakimbilia kuweka kadi zao za bank kwa kina mura chacha naona leo bungeni wanajadili kuondoa huo uonevu mkubwa sana wa HELSB.
 
Kima hawawizi kuelewa hao
 
Amini nawaambia, Hayati Benjamin Wiliam Mkapa alifanya mambo makubwa kwenye hii nchi kuliko huyo mnaemnadi sana!

Au wakati mkapa anatengeneza hii nchi mlikuwa watoto wadogo sana?

Lijengwe sana la Mkapa kwanza hala mengine yatafuata.
 
Kuna kitu sijakielewa kuhusu sie Watanzania, kwanini tunaona Kiongozi kufanya maendeleo ni hisani na sio wajibu wake? Alichaguliwa ili afanye nini kama sio maendeleo? na maendeleo ayafanyayo kwanini yakuzwe sana kama vile kiongozi hutumia pesa za mfukoni mwake kuyafanya wakati ni kodi zetu, [emoji848]
 
Watumishi aliwakuta na utaratibu mzuri wa kupandishwa mishahara kwa mujibu wa sheria yeye kafuta akaona haitoshi akawaongezea makato ya bodi ya mikopo mpaka wakawa hawakopesheki wakakimbilia kuweka kadi zao za bank kwa kina mura chacha naona leo bungeni wanajadili kuondoa huo uonevu mkubwa sana wa HELSB.
Na ndiyo maana watumishi wengi wa umma hatukuguswa na kifo chake. Alituonea sana huyo mzee. Halafu alikuwa anajisifu kabisa hadharani! Sitawapandisha madaraja kwa sababu hela zinaenda kununulia ndege!

Hizo ndege alizozinunua na kuzipokea kwa mbwembwe, leo hii zinaingiza hasara tu! Na bila shaka zitaharibika tu siku za usoni. Yaani watu wameajiriwa mwaka 2014 mpaka leo wanapokea mshahara ule ule!! Hovyo kabisa.
 
Kila mtu aliyemtukuza na kumsujudia, akalijenge hilo sanamu lake nyumbani kwake! Mtaendelea kumwamudu, kumtukuza na kumuimbia mapambio huko!
Hili ndilo neno kila mtu anayehitaji alijenge sanamu na aliweke nyumbani kwake.

Tupo awamu ya 6, mama kishateua baraza huko, aliyekwenda ameshakwenda. Maisha yaendelee..

Ukitaka public holiday ya mwendazake basi nimetoa wazo uamuliwe mwezi mmoja uwe wa kuwaenzi maraisi wote wa nchi hii bara na visiwani.. Huo mwezi tuwe tu likizo nchi nzima, kuenzi viongozi.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kuna kitu sijakielewa kuhusu sie Watanzania, kwanini tunaona Kiongozi kufanya maendeleo ni hisani na sio wajibu wake? Alichaguliwa ili afanye nini kama sio maendeleo? na maendeleo ayafanyayo kwanini yakuzwe sana kama vile kiongozi hutumia pesa za mfukoni mwake kuyafanya wakati ni kodi zetu, [emoji848]
Ndiyo upumbafu tulionao ngozi nyeusi
 
Sasa hivi kalala peke yake mbwembwe kwishney Mungu fundi jamani hapa ndio unaona faida ya kifo imagine tungekuwa hatufi huyu mtu angeumiza wangapi na walishaanza kumuimbia upuuzi wao wa mitano Tena na kutawala milele pumbavu kabisa.
 
Watumishi aliwakuta na utaratibu mzuri wa kupandishwa mishahara kwa mujibu wa sheria yeye kafuta akaona haitoshi akawaongezea makato ya bodi ya mikopo mpaka wakawa hawakopesheki wakakimbilia kuweka kadi zao za bank kwa kina mura chacha naona leo bungeni wanajadili kuondoa huo uonevu mkubwa sana wa HELSB.
Alifanya yote hayo ili akuze uchumi na tumefika uchumi wa kati huoni raha maana tungechelewa sana kuufikia

Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom