Katika hiyo ajari hali ya dereva inaendeleaje? Au muheshimiwa alikuwa anatumia gari binafsi hivyo hakuwa na dereva?? Gari iliyopata ajari ipo kituo kipi cha polisi nikaishuhudie?
kila Siku namuomba Mungu hiki kifo kiwe funzo/somo kwa watu wenye roho mbaya kwa wenzio, watu jeuri na wenye majigambo kwa binaadamu wenzio, wajifunze kuwa dunia ni mapito tu huna haja ya kumfanyia roho mbaya binaadamu mwenzio