Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh..Nimeona wamegongesha gari lake wanazuga zuga hapo.....still regardless,bungeni lazima hawa mapumbavu wafe kadhaa,wajipange tu!
R. I.P mheshimiwa Nzuri ya. Amezaliwa 1969? Au macho yangu mabovu? KAMA ndivyo basi ana mwili wa kuzeeka vibaya.Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mkoa wa Kigoma Ndugu Atashasta Nditiye alipata ajali ya gari juzi Alfajiri Dodoma.
Taarifa ni kuwa ametangulia mbele ya haki mapema leo.
Pumzika vema mzee Nditiye, mtu mwema.
Atashasta Justus Nditiye ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Muhambwe Kigoma kwa mwaka 2015 – 2020 na Mwaka 2020 - 2025. Kazaliwa Tarehe 17 Oktoba 1969
Spika Ndugai amesema Marehemu alipata ajali Feb. 10. 2021 Nanenane Dodoma na kupelekwa Hospitali ya Mkoa Dodoma na kuhamishiwa hospitali ya Benjamin Mkapa alikofariki Feb. 12. 2021, Nditiye pia aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi.
Wewe ni mpumbavu sana yani.Nimeona wamegongesha gari lake wanazuga zuga hapo.....still regardless,bungeni lazima hawa mapumbavu wafe kadhaa,wajipange tu!
Hatukuzisikia kwa sababu hakukuwa na ajali. Msamiati ''changamoto za kupumua'' limegeuka na sasa limekuwa ''ajali'. Naanza kuamini sasa hata Che-Nkapa huenda ilikuwa ni ''ajali'' kama uvumi ulivyovuma.Mbona taarifa za ajali hatukusikia?
Hawa mhukumu. Wanaandaa wasifu wake alipo kuwa hapa duniani na Chama chake cha dhuluma. Hakuna mwenye cheti cha kuishi milele hapa duniani. Tena itapendeza siku ya kusoma wasifu wake mka weka na hizi dhuluma chama chake kilivyo tenda kwa sifa za kidunia. You harvest what you plant.Wana member wa jf tusipende kumuhukumu marehem tusubilie azikwe kwanza mana ni pigo kwa familia yake na wananch wa Jimbo lake. RIP rafiki yangu Engineer tulifanya wote kazi pindi ulipokuwa mkandarasi.
Hawa mhukumu. Wanaandaa wasifu wake alipo kuwa hapa duniani na Chama chake cha dhuluma. Hakuna mwenye cheti cha kuishi milele hapa duniani. Tena itapendeza siku ya kusoma wasifu wake mka weka na hizi dhuluma chama chake kilivyo tenda kwa sifa za kidunia. You harvest what you plant.Wana member wa jf tusipende kumuhukumu marehem tusubilie azikwe kwanza mana ni pigo kwa familia yake na wananch wa Jimbo lake. RIP rafiki yangu Engineer tulifanya wote kazi pindi ulipokuwa mkandarasi.
Iweje ajari iliyotokea 2018 ihusishwe na kifo cha 2021?Singida: Naibu Waziri Atashasta Nditiye amepata ajali maeneo ya Iguguno
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Anashasta Nditiye, amepata ajali leo Jumapili, Novemba 11, 2018 maeneo ya Iguguno mkoani Singida akielekea Jijini Dodoma. Mwananchi limezungumza na kiongozi huyo kwa njia ya simu na amesema kwamba, katika ajali hiyo hakuna ambaye amepata madhara baada ya...www.jamiiforums.com
Wamemuachia hakimu wa haki. Hakimu asie pewa maelekezo. Hakimu asie hongwa.Ogopa sana mtu umemuibia kura lakini kutokana na vitisho na ukosefu wa haki haoni sababu ya kufungua kesi ya kupinga matokeo mahakamani.
Tujiulize, uchaguzi huu ndio mchafu kuliko chaguzi zote za nyuma kwa nini hakuna kesi hata moja ya kupinga matokeo?
Na bado tutasikia parapanda siku sio nyingi mkoa huo huoMkosa mali bado atachapwa tu kwa mara ya pili,
Hata baada ya kufa huyu bwana, mungu aliaze mahara pema peponi.
Hakuna cha wizi pale, bali chama cha mkosa mali kilikuwa kimekosa mali chenyewe.
Huyu alishapata ajali mara 3...Iweje ajari iliyotokea 2018 ihusishwe na kifo cha 2021?
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Weka siasa kando na misiba.Alishinda kihalali kwenye kura? Kama alishinda kihalali RIP, lakini kama ni hawa walioshinda kwa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura, basi apambane na hali yake.
Basi kaa na upumbavu wako ukisubiri wabunge wafe kwa wingi sana, huku ukiamini wametunga kwamba kafa kwa ajali kumbe ni corona.Mimi ni mwanadamu kua mpumbavu ndio kazi hasa ya mwanadamu
I'm doing my part correctly kua mpumbavu....