TANZIA Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Februari 10

TANZIA Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Februari 10

Mkosamali alimwambia hutamaliza huu ubunge! Dah ishakua sasa.
 
Mkosamali alimwambia hutamaliza huu ubunge! Dah ishakua sasa.
 
kama alishiriki kudhuluma kura za wananchi atakuwa yupo zake kuzimu katulia saa hii
 
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mkoa wa Kigoma Ndugu Atashasta Nditiye alipata ajali ya gari juzi Alfajiri Dodoma.

Taarifa ni kuwa ametangulia mbele ya haki mapema leo.

Pumzika vema mzee Nditiye, mtu mwema.

Atashasta Justus Nditiye ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Muhambwe Kigoma kwa mwaka 2015 – 2020 na Mwaka 2020 - 2025. Kazaliwa Tarehe 17 Oktoba 1969

Spika Ndugai amesema Marehemu alipata ajali Feb. 10. 2021 Nanenane Dodoma na kupelekwa Hospitali ya Mkoa Dodoma na kuhamishiwa hospitali ya Benjamin Mkapa alikofariki Feb. 12. 2021, Nditiye pia aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi.
R. I.P mheshimiwa Nzuri ya. Amezaliwa 1969? Au macho yangu mabovu? KAMA ndivyo basi ana mwili wa kuzeeka vibaya.
 
Nimeona wamegongesha gari lake wanazuga zuga hapo.....still regardless,bungeni lazima hawa mapumbavu wafe kadhaa,wajipange tu!
Wewe ni mpumbavu sana yani.

Na watu kama nyie tukiwaita wapumbavu mods wanakimbilia kutupiga ban, ila nyie na coment zenu hizi za kuandikia wino wa mavi mnaachwa tu humu.

Umeambiwa ni ajali unabisa, weka basi ushahidi kwamba hajafa kwa ajali.
 
Wana member wa jf tusipende kumuhukumu marehem tusubilie azikwe kwanza mana ni pigo kwa familia yake na wananch wa Jimbo lake. RIP rafiki yangu Engineer tulifanya wote kazi pindi ulipokuwa mkandarasi.
Hawa mhukumu. Wanaandaa wasifu wake alipo kuwa hapa duniani na Chama chake cha dhuluma. Hakuna mwenye cheti cha kuishi milele hapa duniani. Tena itapendeza siku ya kusoma wasifu wake mka weka na hizi dhuluma chama chake kilivyo tenda kwa sifa za kidunia. You harvest what you plant.
 
Iweje ajari iliyotokea 2018 ihusishwe na kifo cha 2021?

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Ogopa sana mtu umemuibia kura lakini kutokana na vitisho na ukosefu wa haki haoni sababu ya kufungua kesi ya kupinga matokeo mahakamani.
Tujiulize, uchaguzi huu ndio mchafu kuliko chaguzi zote za nyuma kwa nini hakuna kesi hata moja ya kupinga matokeo?
Wamemuachia hakimu wa haki. Hakimu asie pewa maelekezo. Hakimu asie hongwa.
Mungu wa mbinguni tunaomba endelea kuonyesha ukuu wako watu wakujue kwamba wewe ni Hakimu wa haki.
 
Ujinga Kama huu ni wa kipaji kwa Watanzania, Mara nyingi Historia inajirudia .Ujinga kama huu Watanzania kwenye vita ya Majimaji waliingizwa cha kike... sasa ni muda wa historia kujirudia ...Wale kule juu wanaweza kuletewa kinga kama walivyoletewa ile dawa ya madagasca....wachini wataendelea kuambia nyungu mara tatu.......
 
Mkosa mali bado atachapwa tu kwa mara ya pili,
Hata baada ya kufa huyu bwana, mungu aliaze mahara pema peponi.
Hakuna cha wizi pale, bali chama cha mkosa mali kilikuwa kimekosa mali chenyewe.
Na bado tutasikia parapanda siku sio nyingi mkoa huo huo
 
Alishinda kihalali kwenye kura? Kama alishinda kihalali RIP, lakini kama ni hawa walioshinda kwa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura, basi apambane na hali yake.
Weka siasa kando na misiba.
 
Mimi ni mwanadamu kua mpumbavu ndio kazi hasa ya mwanadamu

I'm doing my part correctly kua mpumbavu....
Basi kaa na upumbavu wako ukisubiri wabunge wafe kwa wingi sana, huku ukiamini wametunga kwamba kafa kwa ajali kumbe ni corona.
 
Back
Top Bottom