pole sana kwa famila yake, wapiga kura wake, kwa spika wa bunge na wabunge wenzake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ile ajali ya mwaka juzi tulitangaziwa, kwanini hii iliyomuua haikutangazwa?Umeona mbali,taarifa za ajali ya Mbunge hata hazikutolewa,
Inawezekana kweli?
Nawaza kwa sauti, yule wa arusha ukute ndo haya haya.Kweli mbunge apate ajali habari wananchi tusi pate
Shika walichosema watu wa karibu na familia. Naanza kuamini hata Che Nkapa inawezekana ilikuwa changamotoAmeandika Hilda Newton kupitia twitter:
Watu wa karibu na familia ya Atashasta Nditiye wanasema jamaa amekufa kwasababu ya changamoto ya kupumua lakini Ndugai anadai kuwa Nditiye alipata ajali ya gari, sasa sijui tushike lipi kati haya.?
Haiwezekani ajali ya mbunge isitangazwe, tena imetokea mjini sio poriniAmeandika Hilda Newton kupitia twitter:
Watu wa karibu na familia ya Atashasta Nditiye wanasema jamaa amekufa kwasababu ya changamoto ya kupumua lakini Ndugai anadai kuwa Nditiye alipata ajali ya gari, sasa sijui tushike lipi kati haya.?
Kuna uzi unasema alipata ajali Igugumo SingidaMkoa wa Kigoma Ndugu Atashasta Nditiye alipata ajali ya gari juzi Alfajiri Dodoma.
Ni kweli juzi tarehe 10 majira ya asubuhi eneo la Nzuguni (Nanenane) mkabala na stendi kuu ya Mabasi kulitokea ajali ya kugongana uso kwa uso kati ya gari moja hivi ya kisasa yenye rangi nyeusi na coaster yenye rangi nyeupe.....
Weka siasa kando na misiba.
Ndugu ndio waliokuwa karibu na mpendwa wao..Ameandika Hilda Newton kupitia twitter:
Watu wa karibu na familia ya Atashasta Nditiye wanasema jamaa amekufa kwasababu ya changamoto ya kupumua lakini Ndugai anadai kuwa Nditiye alipata ajali ya gari, sasa sijui tushike lipi kati haya.?
Sawa mkuu na ninakubaliana na wewe.Ndugu ndio waliokuwa karibu na mpendwa wao..
Achana na yule kiazi anaekaa pale mbele bungeni.
Wanavyopenda dhuluma utadhani hawafagi.Naona nafasi zote za Wapinzani zilizozurumiwa zinarudi kwa mlango wa nyuma,na zitarudi zote mpaka pale juu kabisa.
Mmoja viti maalum,na mwingine jimbo...coona ifanye yake sasa tupunguze 60 pale mjengoniMbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mkoa wa Kigoma Ndugu Atashasta Nditiye alipata ajali ya gari juzi Alfajiri Dodoma....