Kwa sababu iyo ndo wameamua kumroga?Pole zake nimemsikia akizungumza mwenyewe ajali hii na yuko vyema maumivu kidogo.
Mbunge wa Handeni lakini mkazi wa upanga!? Ni shida ndio maana hatubadiliki wananchi hawamwoni mbunge hadi kampeni!! TZ pekee!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu iyo ndo wameamua kumroga?Pole zake nimemsikia akizungumza mwenyewe ajali hii na yuko vyema maumivu kidogo.
Mbunge wa Handeni lakini mkazi wa upanga!? Ni shida ndio maana hatubadiliki wananchi hawamwoni mbunge hadi kampeni!! TZ pekee!!?
Aendelee kuunga tozo mkonoNaungana na wewe namuombea afya na maisha marefu
umepanic hadi hurumaAu sio, yule Johari Mtei yeye ameenda vacation Ibiza eenh? Vipi wale ndugu wa Mbowe kule Hai waliokufa ovyo kama mizoga ya mbwa , wao hawajafa eenh pia? Prof Baregu ? Mtei siku zake zimebaki ngapi hivi nyie ambao hamfi ?
Dogo kumbuka ahadi ya ya kuniua kwasababu ya kuwaibia TV 1988.Aendelee kuunga tozo mkono
fafanua ili twende sambambaDogo kumbuka ahadi ya ya kuniua kwasababu ya kuwaibia TV 1988.
Wataisha sasa. Laana ya YosefaNi Mbunge wa Muheza , anaitwa Hamisi Mwinjuma ambaye ni mkazi wa Upanga Dar es Salaam .
Inasemekana yuko katika hali nzuri
Mungu wa ajabu sanaUzuri ni kuwa ninyi mnao taka kuua wenzenu ndio mtatangulia kwanza.Kuna mwenzako alianzisha fyoko fyoko za kuteka, kuua na kutesa RAIA wema. Akatamani amuue Lissu kwa risasi mchana kweupee. Laki habari njema ni kuwa amedhibitiwa na yupo mikono salama huko kuzimu.
Aliyetaka kumuua Lissu akatangulia yeye kwanza. Yaani dunia hii ina vichekeshoHivi mnafikiria nyie hamfi hadi mnachulia wenzenu vifo, sote tutakufa, kuanzia Mtei, Gaidi Mbowe na Lissu, na wote tutakejeli maiti zao kama mnavyokejeli za wapendwa wetu.
Apumzike uchovu wa safari. Acha kuwa na fikra chafuApumzike ili iweje? Ugaidi huanza hivi hivi
Upanga tena! Hii sasa ni balaa.Ni Mbunge wa Muheza , anaitwa Hamisi Mwinjuma ambaye ni mkazi wa Upanga Dar es Salaam .
Inasemekana yuko katika hali nzuri
Acha kwanza tabia mbaya ya kuzurura kutwa nzima kwenye mitandao kutafuta connection!😄😄😄Oooh jamani mwana FA, nampenda san huyu brother[emoji21]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nipe conection mkuu ya mama J[emoji3][emoji3][emoji3]Acha kwanza tabia mbaya ya kuzurura kutwa nzima kwenye mitandao kutafuta connection![emoji1][emoji1][emoji1]
HamzaWanaopumzika huwa ni magaidi?
SureDaah! Mkeka umechanika
KabisaUzuri ni kuwa ninyi mnao taka kuua wenzenu ndio mtatangulia kwanza.Kuna mwenzako alianzisha fyoko fyoko za kuteka, kuua na kutesa RAIA wema. Akatamani amuue Lissu kwa risasi mchana kweupee. Laki habari njema ni kuwa amedhibitiwa na yupo mikono salama huko kuzimu.