Mbunge wa Ngorongoro aachiwa huru. Asema aligoma kula kwa siku tatu

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Polisi imekuwa ya hovyo kuliko wakati wowote. Culture ya kuteka watu imekuwa kama Kula nyama ya watu. Mpaka press zifanyike ndo wanaachia watu.pfuuuu natamani wawapeleke nje hawa viongozi wao waone polisi zingine zinavyoheshimu sheria
 
Ni zamu yao wenyewe CCM kuumizana kwa kutumia vyombo vya dola baada ya kuwaumiza wakinzani wao.Kuteswa kwa zamu.Watajuana wenyewe.
 
Usizubae unaweza ukajikuta umechanganywa na pilau.
 
Polisi ikiwa kama unavyotaka nchi itaharibika vibaya.
KUNA mtindo umeanza kuenea Tanzania wahalifu wanataka waogopwe baadhi ya watu wanapenda wawe juu ya sharia utasikia Mimi siogopi chochote! Sawa usiogope chochote lakini usivunje sheria za nchi.Polisi wamekuwa kikwazo kwa wahalifu na wahalifu wanapenda waheshimiwe na kunyenyekewa jambo ambalo halipo katika nchi yoyote Duniani.Haki yako inaishia pale unapoanza kuingilia haki ya wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…