Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Kuna wazee kadhaa wa kimasai wamenitonya kuwa wametonywa kukaa mkao wa kula.Nchi imeuzwa hii
Kuna mikopo inaandaliwa kwa ajili yao.
Vigezo muhimu: umri, kadi ya NIDA na akaunti ya benki (nmb, NBC au crdb). Bado kuna ubishani juu ya kadi ya ccm.
Tayari kuna Mzee mmoja amepewa jukumu la hamasa.