Mbunge wa Ngorongoro aachiwa huru. Asema aligoma kula kwa siku tatu

Nchi imeuzwa hii
Kuna wazee kadhaa wa kimasai wamenitonya kuwa wametonywa kukaa mkao wa kula.
Kuna mikopo inaandaliwa kwa ajili yao.
Vigezo muhimu: umri, kadi ya NIDA na akaunti ya benki (nmb, NBC au crdb). Bado kuna ubishani juu ya kadi ya ccm.

Tayari kuna Mzee mmoja amepewa jukumu la hamasa.
 
Hahahaha...labda wanataka kutumia style ya DPW ' ...hakuna mkate mgumu mbele ya chai.... aiseee mtafika mmechoka..
 
Kwani yeye ndio aliwapiga?
Waandishi wamekua wasaka dili sana siku hizi. Wanatumika na fisadi wenye malengo kudhulumu haki ya wananchi wa kawaida hadi wanajikuta kulengwa kama adui.
 
Hakuna polisi hapa .........hapa kuna vibaka...........washitakiwa wa kwanza ndio waheshimiwa........unakamataje raia wachovu
 
Hivi wanyama wa aina moja wanaweza kulana wao kwa wao
Hiyo iko Ccm pekee. Kikwete aliwahi sema hawa aminiani. Hata ukienda chooni huthubutu kumuachia mwenzako glass yako ya maji.
 
Sasa wabunge wana takiwa wajifunze kutoka kwa huyu mbunge mwenzao.
Kama polisi wana weza kumkamata mbunge na waka kaa nae siku tatu bila umma kujua mwakilishi wao yuko wapi. Je? Mwananchi wa kawaida asie jua kesho yake huwaje?
Huyu mbunge alikuwa na watu wengi sana wana mtafuta wakiwepo wana sheria lakini polisi wakatumia kiburi na jeuri bila kusema yuko wapi?
Je? Hiyo haki jinai walioenda kula nayo pilau pale ikulu na makofi mengi iki wapi?
Je sheria zina semje kuhusu ukamataji?. Bado Mh. Rais anakalia kimiya haya mambo? Kweli? IGP alikuwepo kwenye ripoti ya haki jinai na akaagizwa awaelimishe mapolisi wake. Je!! Hii ndiyo elimu aliyo kwenda kuwapa wasaidizi wake? Tumeona ukamataji wa aina hii kule Mbeya sasa Arusha, baadae itakuwa wapi? Ni Mungu anajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…