Ndugu yangu sikutegemea such a poor comment from senior JF member kama wewe! Nyie ndio maadui wa upinzani! Muda utaongea!..Mbowe ana wakati mgumu.
..Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya upinzani amepigwa RISASI ktk eneo linalolindwa na serikali, baada ya hapo Spika amemvua ubunge kwasababu zisizo na ubinadamu wala mashiko.
..Ikiwa Kiongozi wa kambi ya upinzani atateua mbunge mwingine kujaza nafasi ya Mnadhimu wa kambi ya upinzani, atakuwa anabariki na kuhalalisha yaliyomtokea TL.
..kwa hiyo hili ni suala la KIMSIMAMO. Ni bora kutokuwa na mnadhimu wa upinzani kuliko kuhalalisha shambulizi la kigaidi dhidi ya TL na ukatili aliotendewa baada ya hapo.
Ndio maana sisi wana Chadema tunataka "mfumo" imara wa kuendesha nchi na Serikali. Na huu ni mfano wa "mfumo" imara kutoka Chadema.
Hapa ndio ukweli mchungu ulipo ila makamanda hawatakuelewaTatizo itakuwa fungu la Mnadhimu Mkuu lote anakula Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Ukiwa huna barua rasmi ya uteuzi unakosa nguvu ya kisheria kudai mafungu ya ofisi husika
Mbowe kaifaidi sana Chadema kuanzia Ruzuku mpaka Viti maalum
Iyo hajapewa barua rasmi ni zuga tu
Tatizo itakuwa fungu la Mnadhimu Mkuu lote anakula Kiongozi wa Upinzani Bungeni

Ndugu yangu sikutegemea such a poor comment from senior JF member kama wewe! Nyie ndio maadui wa upinzani! Muda utaongea!
Utetezi wa kitoto sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
mzee usiye wa chadema ila ni chadema...
Kwann usimlaumu Mbowe kwa kutomthibitisha aliye mteua ingalao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii si ndio kauli ya kila siku ya Chadema? Kwamba wanataka "mfumo" imara. Labda huu ndio mfano Mkuu!!seriously mkuu chadema kuna mfumo?
achana tu na mfumo imara...
Unamteua mtu bila kumthibitisha mwaka mzima huo ni mfumo imara??
uteuzi wa wabunge viti maalum unafuataga mfumo gani?
kumteua Lowassa kuwa mgombea ulitumika mfump gani?
chadema ikija kuwa na mfumo namimi nachukua kadi.. kwa sasa bado ni NGO ya watu binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Selasini kawavumilia sana! Nilisema uchaguzi uliopita umeipasua zaidi Chadema! Mnyika kawekwa mtegoni sababu ya kutafuta huruma kirahisi lakini hakuna kuaminiana wala uaminifu tena!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja ! Tatizo linaanzia hapo kwenye fedha , yule bwana mkubwa huwa hasikii la mnadi swala wala muadhini !Tatizo itakuwa fungu la Mnadhimu Mkuu lote anakula Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Ukiwa huna barua rasmi ya uteuzi unakosa nguvu ya kisheria kudai mafungu ya ofisi husika
Mbowe kaifaidi sana Chadema kuanzia Ruzuku mpaka Viti maalum
Iyo hajapewa barua rasmi ni zuga tu
Huyo TL si mshampa nafasi huko chamani? Mbona harudi?..Mbowe ana wakati mgumu.
..Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya upinzani amepigwa RISASI ktk eneo linalolindwa na serikali, baada ya hapo Spika amemvua ubunge kwasababu zisizo na ubinadamu wala mashiko.
..Ikiwa Kiongozi wa kambi ya upinzani atateua mbunge mwingine kujaza nafasi ya Mnadhimu wa kambi ya upinzani, atakuwa anabariki na kuhalalisha yaliyomtokea TL.
..kwa hiyo hili ni suala la KIMSIMAMO. Ni bora kutokuwa na mnadhimu wa upinzani kuliko kuhalalisha shambulizi la kigaidi dhidi ya TL na ukatili aliotendewa baada ya hapo.
Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini amejiuzulu na kumtaka M/kiti wa Chadema, Freeman Mbowe kumteua mtu mwingine kukaimu nafasi ya Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni
Amesema tangu alipomkaimisha hajawahi kumpa barua rasmi wala kumthibitisha ktk kukaimu nafasi hiyo.
---
My take ,kufikia Oktoba CHADEMA itabaki na mwenyekiti na katibu peke,Mungu ni mwema siku zote
View attachment 1322304
View attachment 1322305
Sent using Jamii Forums mobile app
na declare interest hapaNijipe moyo kwa kipi? Hata Selasini angejiuzulu ubunge, bado cdm haiwezi kuwa dhaifu kwa ajili ya nafasi ya kimadaraka ya huyo Selasini. Wameondoka wabunge na madiwani kibao kwenda ccm, lakini bado ccm inanajisi uchaguzi ili ibaki madarakani, itakuwa hiyo Selasini kutokuwa mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni?