Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kumekucha hasa!Nilishasema huu ni WAKATI WA TUNDU LISSU, kushindana na Lissu ni kushindana na muda.
Hakuna kijiji kitaachwaHatimaye Kiswaswadu naye amefikiwa.
Hii ngoma hadi Kizimkazi itafika.Hakuna kijiji kitaachwa
Tuliweka Ratiba yote hapa hapa jfHii ngoma hadi Kizimkazi itafika.
Ndio maana kuna No Reform No ElectionHalafu unakuta umati wote huu kura zao sawa na bure, Sababu inategemeana na huruma ya msimamizi anayesimamia amtangaze anayemtaka,halafu wata wanakazana twende kwenye uchaguzi,
Waana akili kweli?
Ngoja tuoneMkt wa ccm ameamua kuanza ziara nje ya nchi, sijui hajui muda wa kukabidhi umewadia!
Na 2025 ATAPITA BILA KUPINGWA!Mbunge huyo ambaye hakufahamika Jina lake, Anatajwa kuwa ni miongoni mwa Wabunge wa CCM waliopita bila kupingwa kwenye ulioitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Mbunge huyo anayetajwa kama Kigogo wa Serikali, leo Amepewa za Uso nyumbani kwake kutokana na namna Wagombea wa Upinzani walivyoteswa kwenye Jimbo hilo 2020, huku mmoja wao akiokotwa Kwenye Pori la Mkuranga akiwa hoi hajitambui huku amejaa damu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kutokana na Unyama huo wa 2020, Mheshimiwa huyo (Bado tunatafuta jina lake) ni Mhusika wa Moja kwa moja wa No Reform No Election.
Hali ya Ruangwa leo ndio kama mnavyoona hapa chini.
View attachment 3295088View attachment 3295089View attachment 3295091View attachment 3295092View attachment 3295094
Atateka tena?Na 2025 ATAPITA BILA KUPINGWA!
Kama alivyofanya Lissu kwa Catherine Ruge. Hupendi?Atateka tena?
Huo wizi wenu ,ndio tunaotaka kuukomesha sasaNa 2025 ATAPITA BILA KUPINGWA!
Kwani Ruge katekwa?Kama alivyofanya Lissu kwa Catherine Ruge. Hupendi?
Haya! Ngoja tuone.Huo wizi wenu ,ndio tunaotaka kuukomesha sasa
Hapana! Yupo Makao Makuu ya Chadema anakula chocolate ya moto aliyopewa na Mwenyekiti Lissu!Kwani Ruge katekwa?
Mwanza lini huko ndo itakuwa balaaa sasaTuliweka Ratiba yote hapa hapa jf
Mwanza lini huko ndo itakuwa balaaa sasaTuliweka Ratiba yote hapa hapa jf