PreGE2025 Mbunge wa Ruangwa akalia kuti kavu, ni baada ya kusombwa na Mafuriko ya No Reform No Election

PreGE2025 Mbunge wa Ruangwa akalia kuti kavu, ni baada ya kusombwa na Mafuriko ya No Reform No Election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kupata vichekesho vingine kama hivi tubonyeze ngapi?
 
Mbunge huyo ambaye hakufahamika Jina lake, Anatajwa kuwa ni miongoni mwa Wabunge wa CCM waliopita bila kupingwa kwenye ulioitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020.

Mbunge huyo anayetajwa kama Kigogo wa Serikali, leo Amepewa za Uso nyumbani kwake kutokana na namna Wagombea wa Upinzani walivyoteswa kwenye Jimbo hilo 2020, huku mmoja wao akiokotwa Kwenye Pori la Mkuranga akiwa hoi hajitambui huku amejaa damu.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kutokana na Unyama huo wa 2020, Mheshimiwa huyo (Bado tunatafuta jina lake) ni Mhusika wa Moja kwa moja wa No Reform No Election.

Hali ya Ruangwa leo ndio kama mnavyoona hapa chini.

View attachment 3295088View attachment 3295089View attachment 3295091View attachment 3295092View attachment 3295094
Mtumeee! Huyo mbunge wa Ruangwa amekwenda na maji.
 
Back
Top Bottom