Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
Mwanza lini huko ndo itakuwa balaaa sasaTuliweka Ratiba yote hapa hapa jf
Mwanza lini huko ndo itakuwa balaaa sasaTuliweka Ratiba yote hapa hapa jf
Ni sawasawa Ng'ombe wang'ang'anie kwenda machinjioni huku wakijua fika wakifika huko wanachinjwa.anayemtaka,halafu wata wanakazana twende kwenye uchaguzi,
Waana akili kweli?
Mama yuko kazini anaenda zake angola kikazi siku tatuuuuMbunge huyo ambaye hakufahamika Jina lake, Anatajwa kuwa ni miongoni mwa Wabunge wa CCM waliopita bila kupingwa kwenye ulioitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Mbunge huyo anayetajwa kama Kigogo wa Serikali, leo Amepewa za Uso nyumbani kwake kutokana na namna Wagombea wa Upinzani walivyoteswa kwenye Jimbo hilo 2020, huku mmoja wao akiokotwa Kwenye Pori la Mkuranga akiwa hoi hajitambui huku amejaa damu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kutokana na Unyama huo wa 2020, Mheshimiwa huyo (Bado tunatafuta jina lake) ni Mhusika wa Moja kwa moja wa No Reform No Election.
Hali ya Ruangwa leo ndio kama mnavyoona hapa chini.
View attachment 3295088View attachment 3295089View attachment 3295091View attachment 3295092View attachment 3295094
Wachache sn ht 100 hawafikiMbunge huyo ambaye hakufahamika Jina lake, Anatajwa kuwa ni miongoni mwa Wabunge wa CCM waliopita bila kupingwa kwenye ulioitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Mbunge huyo anayetajwa kama Kigogo wa Serikali, leo Amepewa za Uso nyumbani kwake kutokana na namna Wagombea wa Upinzani walivyoteswa kwenye Jimbo hilo 2020, huku mmoja wao akiokotwa Kwenye Pori la Mkuranga akiwa hoi hajitambui huku amejaa damu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kutokana na Unyama huo wa 2020, Mheshimiwa huyo (Bado tunatafuta jina lake) ni Mhusika wa Moja kwa moja wa No Reform No Election.
Hali ya Ruangwa leo ndio kama mnavyoona hapa chini.
View attachment 3295088View attachment 3295089View attachment 3295091View attachment 3295092View attachment 3295094
We bwege hapo hawaipigia chadomo kura, mazuzu hayaoni ht hayaHalafu unakuta umati wote huu kura zao sawa na bure, Sababu inategemeana na huruma ya msimamizi anayesimamia amtangaze anayemtaka,halafu wata wanakazana twende kwenye uchaguzi,
Waana akili kweli?
Kwanza kuipenda CCM ni kujitakia laana isiyokuwa na sababu,maana hata swala au sala zako zitakuwa sawa na bure,ndiyo maana tuna kila kitu lakini bado maskiniWe bwege hapo hawaipigia chadomo kura, mazuzu hayaoni ht haya
Watu wakija kukusikiliza basi tayari hao ni waoiga kura wako si ndio?Mbunge huyo ambaye hakufahamika Jina lake, Anatajwa kuwa ni miongoni mwa Wabunge wa CCM waliopita bila kupingwa kwenye ulioitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Mbunge huyo anayetajwa kama Kigogo wa Serikali, leo Amepewa za Uso nyumbani kwake kutokana na namna Wagombea wa Upinzani walivyoteswa kwenye Jimbo hilo 2020, huku mmoja wao akiokotwa Kwenye Pori la Mkuranga akiwa hoi hajitambui huku amejaa damu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kutokana na Unyama huo wa 2020, Mheshimiwa huyo (Bado tunatafuta jina lake) ni Mhusika wa Moja kwa moja wa No Reform No Election.
Hali ya Ruangwa leo ndio kama mnavyoona hapa chini.
View attachment 3295088View attachment 3295089View attachment 3295091View attachment 3295092View attachment 3295094
Msaada kwenye tuta; hivi Catherine Luge anatumia jina la mumewe au la wazazi wake? Nataka ku connect dotsKama alivyofanya Lissu kwa Catherine Ruge. Hupendi?
Dah! Inahusiana vipi na mada iliyo mezani?Msaada kwenye tuta; hivi Catherine Luge anatumia jina la mumewe au la wazazi wake? Nataka ku connect dots
Nataka ku connect dots bro, hakuna ubaya wowote. Kwanza nataka kujua kama kaolewa, mengine niachie mwenyewe, wewe nijibu tu swali languDah! Inahusiana vipi na mada iliyo mezani?
Muulize Erythrocyte.Nataka ku connect dots bro, hakuna ubaya wowote. Kwanza nataka kujua kama kaolewa, mengine niachie mwenyewe, wewe nijibu tu swali langu
Sijui loloteMuulize Erythrocyte.
🐷🐷🐷Na 2025 ATAPITA BILA KUPINGWA!
Taarifa hii naisikia kwa mara ya kwanza; kama kuna ukweli ndani yake namwondolea heshima hata hiyo ndogo iliyokuwa imebaki kwa baadhi ya mashetani walioko huko CCM.Wagombea wa Upinzani walivyoteswa kwenye Jimbo hilo 2020, huku mmoja wao akiokotwa Kwenye Pori la Mkuranga akiwa hoi hajitambui huku amejaa damu.
Hilo ndilo "BOMU" pekee linalo watia kiwewe CCM wote kwa sasa hivi, kwa sababu hawana njia ya kulitegua.Hakuna kijiji kitaachwa
Nakwambia Hachomoi Amenasa YuleHatimaye Kiswaswadu naye amefikiwa.
Anaona Ndani Kugumu Vijana Wanaielewa CDMMkt wa ccm ameamua kuanza ziara nje ya nchi, sijui hajui muda wa kukabidhi umewadia!
Yawezeka wewe ni mnufaika wa mfumo uliopo hivyo si rahisi ku feel the painWatu wakija kukusikiliza basi tayari hao ni waoiga kura wako si ndio?
Huu ujinga ndio unawaponza,hata Mimi nimehudhuria sana mikutano ya kibaraka Lisu lakini hana ajenda Mpya sana sana ana Nia ovu.
Mtu kama Mimi utaniambia nitoke nyumbani kwangu nikazuie uchaguzi Kwa maslahi ya Lisu Ili nipate nini hasa?
SONGEA wanafika?Tuliweka Ratiba yote hapa hapa jf