Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,584
- 6,136
- Thread starter
- #21
Pasco,
Kila mtu anafahamu kuwa Nkumba ni mweupe. Ila kwa sababu CCM mtaji wake ni Umasikini wa Watanzania na wao wanataka kwa hali na mali tubaki masikini, watahakikisha Nkumba anakuwa Mbunge wao milele ili aendeleze umasikini.
Nimechukizwa sana na kitendo cha kubeba watu kama Nkumba na kuacha mtu kama Kakunda. Kama mie siendi, basi nitahakikisha anapelekwa mtu makini kugombea kwenye vyama vyote incase CCM wamemtupa mmoja wao.
Nitahakikisha nakula Sahani moja na Slaa na kundi lake hadi Watembeze Operation Zinduka (Sangara) katika kila kata ya Sikonge. Mungu yupo kuna siku tutasema "Wanyamwezi We Are Back......" ili hawa Wasukuma wasitusute tena na hivyo vihela vyao wanavyopata kwenye migodi baada ya kuuwa wenzao wenye ugonjwa wa Ngozi (Albino). Wasukuma, heri nilime kibarua kuliko kuwa tajiri kwa kuuwa Albino.
Wengine tukiwaona tunawahurumia, nyie mkiona mnaona MTAJI. Ng'wanangwa, ona mtaji chini.

Sikonge na Gagnija, badhi ya waheshimiwa wetu ni weupe sana, hawana kitu kabisa. Mfano ni jinsi Mhe. Ole Sendeka alivyo anahaha na kisemeo utadhani alikuwa na serious burning issue, alipofanikiwa kupata mic aliishia kutoa utumbo tuu.